Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

Kwahiyo ZRA ya kazi gani???

Kama TRA ni suala la muungano?
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania, tanganyika haipo,
Wakiwa kwao wana yao, wakija huku ya huku pia ni ya kwao

Rudisheni kwanza Tanganyika ndio mdai haki
Ila kwa sasa vumilieni tu
 
WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.

Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Huu ni unyonyaji, wizi na utapeli wa kiwango cha kutisha.

Kinachosikitisha ni kuwa wazanzibar wote ni wazalendo sana kwa Zanzibar yao, ila Watanganyika walio na nafasi za mamlaka serikalini, bungeni, majeshi, ccm, TiSS, nk hawana uzalendo wowote kwa Tanganyika, ni wasaliti.

Wananchi wa Tanganyika wanapaswa kujulishwa kikamilifu kuhusu huu uhuni wanaofanyiwa na watawala
 
Huu ni unyonyaji, wizi na utapeli wa kiwango cha kutisha.

Kinachosikitisha ni kuwa wazanzibar wote ni wazalendo sana kwa Zanzibar yao, ila Watanganyika walio na nafasi za mamlaka serikalini, bungeni, jeshini, ccm, TiSS, nk hawana uzalendo wowote kwa Tanganyika, ni wasaliti
Tanganyika iko wapi? Hapa ndio mnapofeli sana,

Mtaona kama tunaitetea sana zenji, kumbe kisheria na uhalisia jamaa wameshika mpini, kila mkijaribu kuvuta mtaendelea kujikata mpaka mtakapodai kwanza Tanganyika
Ndio mtasalimika
 
Mkuu pole sana Kwa kuchelewa kugundua Hilo ila usichokijua ni kwamba huo mgawanyo upo Kwa wizara zote za muungano ikiwemo majeshi ya ulinzi na usalama.
 
Baada ya miaka mitano Hali itakuwa mbaya zaidi Tanganyika..
Mzazibar huyu ni tapeli namba moja
Hii ni personal attack, yeye yupo pale kisheria na kikatiba kabisaaaa,

Kwanza daini Tanganyika yenu halafu ndio mtapokapopata nguvu ya kusemea mengine, vinginevyo pigeni kelele na wao wanakula buheri kabisaa
 
Njia mojawapo ya kuua mila na tamaduni za wazazibari ni kuwameza kwenyr taasisi za muungano

Hiyo asilimia kupanda ni moja ya mkakati huo

Wazanzibari wengi walioko bara hawans mpango wa kurudi Zanzibar sababu bara kuna uhuru wote wa kulewa, kula kitimoto,kufanya umalaya bila macho ya akina swala tano wa Zanzibar kuwasumbua

Bara waweza hata ingia bar wakiwa na hijabu au kanzu na baraghsshia na hakuna mtu anajali tofauti na Zanzibar
 
Heshima sana wanajamvi.

TRA wametangaza ajira mpya 1,574.

Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.

Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.

Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Hizi hesabu nimejaribu kuzipiga,kugawanya,kuzidisha nimetoka kapa.

Huu upuuzi uliletwa na Mchengerwa katika bunge hili linalomaliza muda wake WABUNGE wetu hawakuhoji,hawakudadisi,hawakuuliza waligonga meza kama kawaida yao.

Wakati LISSU akishangaa idadi ya wabunge wa ZANZIBAR kuchanguliwa na wastani wa watu 11,000 tu wakati wabunge wa TANGANYIKA wanachaguliwa na idadi ya watu 300,000 na kuendelea angejiuliza na kudadi inakuwaje WAZANZIBAR wanatengewa nafasi 331 katika taasisi moja tu.Siku BOT wakitangaza ajira utaratibu ni huo huo.

Lissu badala ya kutazama nafasi za kisiasa pekee yake angetazama pia suala zima la ajira katika hii JMT.
Si mlisema anaupoga mwingi ngoja mpigwe kwa wingi
 
Mbona Rais Hussein mwinyi aliwahi kuwa mbunge wa mkuranga kwa miaka5 wakati ni eneo la Tanganyika mwaka 2000 wakati yeye ni mzenji mbona humukuhoji
 
Heshima sana wanajamvi.

TRA wametangaza ajira mpya 1,574.

Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.

Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.

Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Hizi hesabu nimejaribu kuzipiga,kugawanya,kuzidisha nimetoka kapa.

Huu upuuzi uliletwa na Mchengerwa katika bunge hili linalomaliza muda wake WABUNGE wetu hawakuhoji,hawakudadisi,hawakuuliza waligonga meza kama kawaida yao.

Wakati LISSU akishangaa idadi ya wabunge wa ZANZIBAR kuchanguliwa na wastani wa watu 11,000 tu wakati wabunge wa TANGANYIKA wanachaguliwa na idadi ya watu 300,000 na kuendelea angejiuliza na kudadi inakuwaje WAZANZIBAR wanatengewa nafasi 331 katika taasisi moja tu.Siku BOT wakitangaza ajira utaratibu ni huo huo.

Lissu badala ya kutazama nafasi za kisiasa pekee yake angetazama pia suala zima la ajira katika hii JMT.
Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano

Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003 zimeweka utaratibu wa wazi wa ajira katika Utumishi wa Umma na kuondoa dosari zilizokuwepo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ikitoa fursa sawa za ajira kwaWananchi wote wa Tanzania ambao wanaomba na kuwa na vigezo kama Elimu, Uzoefu na Sifa husika. Kuhusu nafasi za watumishi wa kawaida kwenye taasisi za Muungano, utaratibu wa muda wa mgao wa ajira uliokubalika kutumika ni asilimia 79 kwa Tanzania Bara na asilimia 21 kwa Tanzania Zanzibar. Utaratibu huu unatekelezwa kwa mujibu wa Waraka wa Serikali wa tarehe 10 Mei, 2013.
 
Huu muungano ni hovyo kabisa.
 
Hivi inakera sana wao wana ZRA yao hakuna mtanganyika hata mmoja
 
Ccx

Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003 zimeweka utaratibu wa wazi wa ajira katika Utumishi wa Umma na kuondoa dosari zilizokuwepo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ikitoa fursa sawa za ajira kwaWananchi wote wa Tanzania ambao wanaomba na kuwa na vigezo kama Elimu, Uzoefu na Sifa husika. Kuhusu nafasi za watumishi wa kawaida kwenye taasisi za Muungano, utaratibu wa muda wa mgao wa ajira uliokubalika kutumika ni asilimia 79 kwa Tanzania Bara na asilimia 21 kwa Tanzania Zanzibar. Utaratibu huu unatekelezwa kwa mujibu wa Waraka wa Serikali wa tarehe 10 Mei, 201
Ccm ipo siku na yaja haiko mbali watanganyika watataka nchi yao
 
Heshima sana wanajamvi.

TRA wametangaza ajira mpya 1,574.

Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.

Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.

Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Hizi hesabu nimejaribu kuzipiga,kugawanya,kuzidisha nimetoka kapa.

Huu upuuzi uliletwa na Mchengerwa katika bunge hili linalomaliza muda wake WABUNGE wetu hawakuhoji,hawakudadisi,hawakuuliza waligonga meza kama kawaida yao.

Wakati LISSU akishangaa idadi ya wabunge wa ZANZIBAR kuchanguliwa na wastani wa watu 11,000 tu wakati wabunge wa TANGANYIKA wanachaguliwa na idadi ya watu 300,000 na kuendelea angejiuliza na kudadi inakuwaje WAZANZIBAR wanatengewa nafasi 331 katika taasisi moja tu.Siku BOT wakitangaza ajira utaratibu ni huo huo.

Lissu badala ya kutazama nafasi za kisiasa pekee yake angetazama pia suala zima la ajira katika hii JMT.

Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano

Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003 zimeweka utaratibu wa wazi wa ajira katika Utumishi wa Umma na kuondoa dosari zilizokuwepo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ikitoa fursa sawa za ajira kwaWananchi wote wa Tanzania ambao wanaomba na kuwa na vigezo kama Elimu, Uzoefu na Sifa husika. Kuhusu nafasi za watumishi wa kawaida kwenye taasisi za Muungano, utaratibu wa muda wa mgao wa ajira uliokubalika kutumika ni asilimia 79 kwa Tanzania Bara na asilimia 21 kwa Tanzania Zanzibar. Utaratibu huu unatekelezwa kwa mujibu wa Waraka wa Serikali wa tarehe 10 Mei, 2013.
Lissu na Wasira ni yupi angefaa zaidi kulifafanua hilo?
 
Back
Top Bottom