Sahihi nimekosea ni 1997.Umekosea. Hong-Kong ilirudishwa China mwaka 1997 baada ya kuwa chini ya UK kwa miaka 156. Na yenyewe ni Special Administrative Region ya China. Ndiyo maana nakuambia kuwa ina autonomy yake kwenye baadhi ya mambo ambayo hayako China Mainland.
Japo nao wamekuwa wakitaka kujitenga kutoka China ili wawe nchi huru
Ila Hong Kong ni sehemu ya China haukutengenezeka muungano kama wa Tanganyika na Zanzibar mkuu.