Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanayoMbona Zenji hawana bendera?
Hiyo Katiba ya nchi inayowaweka ndo hiyo hiyo inakataza utekaji,kuua.Pia usisahau ndo hiyo hiyo inaruhusu watu kuandamana na kutoa maoni yao.Acha chokochoko za kibaguzi ndugu...hao wote unaowaita wazanzibar wapo kwa mujibu wa sheria na taratibu ya nchi yetu...
Mimi nafkl ili nizaidi ya utanganyika na uzanzibar. Ni swala la roho ya mtu ilivyo maana Mm kama mtanzania ata ukinipeleka uingereza kuwa waziri mkuu kama sina roho ya kutotenda haki siwezi kuwanyanyasa au kuuwa waingereza kwa sababu nina hofu na Mungu. Mtu mwenyewe ata kuchinja kuku na kimbia itakua kutoa roho ya mtu?Acha chokochoko za kibaguzi ndugu...hao wote unaowaita wazanzibar wapo kwa mujibu wa sheria na taratibu ya nchi yetu...
Mi naongelea kwenye picha!Nani kakwambia Zenji hawana bendera!??
Tukuoneshe bendera yao?
Elimu inaweza kuondoa ujinga kwa kiasi fulani, siyo UPUMBAVUNimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania. Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika.
Ila kitu kinaitwa Zanzibar chenyewe kipo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hamna kitu kinaitwa Tanganyika bwana!! Acheni kukaririshwa na wanaharakati uchwara
Nchi yetu ni Tanzania...Tanganyika practically haiexist tangu 1964Nchi ipi hiyo Mkuu Tanganyika au Zanzibar
Kwamba unahalalisha kosa moja kwa kuwa huwa kuna makosa mengine yanatokea? sikiliza brother kama wewe ni mpenda haki kweli pinga kila lililokosa linalovunja sheria sio kulibeba lifurahishayo moyo wako na kuchukia kosa usilolipenda...Hiyo Katiba ya nchi inayowaweka ndo hiyo hiyo inakataza utekaji,kuua.Pia usisahau ndo hiyo hiyo inaruhusu watu kuandamana na kutoa maoni yao.
Huna akil unazani zanzibar wakijitoa kwenye muungano hilo jina unalosema halipo utalitafuta tuKama unakubali kuitwa MTANGANYIKA, nchi ambayo haipo, kweli wewe ni MPUMBAVU
ChokoChawa !
Wewe unaangalia jina, mimi naangalia madaraka waliyonayo. Akili yako ni ngumu kutafakariHong kong toka miaka ya nyuma inaitwa vivyo hivyo na China toka kipindi cha Qing na Ming Dynasty inajulikana ni China.
Ni wapi palibadilika jina kama Tanganyika kuwa Tanzania baada ya muungano!??
Subiri wajitoe kama wanawezaHuna akil unazani zanzibar wakijitoa kwenye muungano hilo jina unalosema halipo utalitafuta tu
Basi huelewi hata nini unajibu.Wewe unaangalia jina, mimi naangalia madaraka waliyonayo. Akili yako ni ngumu kutafakari
Kwani Tanzania ilitokqna na nchi ngapi kuungana?Nchi yetu ni Tanzania...Tanganyika practically haiexist tangu 1964
Umeona sasa🤣
Tumekaa na chuo kikuu cha UDSM kuzalisha wasomi tangu 1972 Hadi Leo,wasomi hao hawaelewi!!!
Chuo hicho kinaonyesha hakijatusaidia hata kidogo!
Umekosea. Hong-Kong ilirudishwa China mwaka 1997 baada ya kuwa chini ya UK kwa miaka 156. Na yenyewe ni Special Administrative Region ya China. Ndiyo maana nakuambia kuwa ina autonomy yake kwenye baadhi ya mambo ambayo hayako China Mainland.Basi huelewi hata nini unajibu.
*Kihistoria Hong kong ilikua sehemu ya China toka kipindi cha dynasties.
Uingereza tu ndio ilipoleta utawala wake ndio ikaitenga Hong Kong na 1992 kama sijakosea ikarudishwa China.
Pia Hong Kong hawana raisi hawatumii raisi kama Zanzibar.
China na Hong kong hawajaungana kama Zanzibar na Tanganyika.
Toka zamani Hong Kong ni sehemu ya China.
Na ilirudishwa hawakuunda muungano.
Ukitaka kujua whether Zanzibar ipo au haipo kamuulize Antonio Guterres, Secretary General wa UNIla kitu kinaitwa Zanzibar chenyewe kipo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sasa hivi inatakiwa Wahuni wa Tanganyika waanze kupita na Wazanzibari,si wapo kibao tu hapo Dar,alafu tuone kama Bi.Kizimkazi atasema ni Drama!Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.
Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.
Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.
Hivyo, watakaoumia na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi? Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?
Ni jambo la kushangaza kuona watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu milioni 60.
Hii si sawa! Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali asili au eneo.