Watanganyika amkeni tujitafakari haraka ! Tunapigwa na kitu kizito

Watanganyika amkeni tujitafakari haraka ! Tunapigwa na kitu kizito

Kuna GOP wengi sana ambao ni bumpkins kama wewe, sometimes charter never change with what level of education you have! Big difference if we were only Tanganyikans! Zanzibar has big influence especially after the 1977 constitution amendment. Ingekuws siyo hiyo Mwinyi na Samia hawangekuwa Rais na hatungekuwa hapa. Big influence
You know that Samia and Mwinyi (RIP) became presidents of the URT by virtue of the constitution, and still you dare write this bulshit. Imbecile at your excellency
 
Kwa nini hamna mkuu?
Kuna wilaya ya Tanganyika iko mkoa wa Katavi na kijiji kimoja kati ya Muheza na Pongwe unapokwenda Tanga.

Orodha ya nchi (sovereign states) inayopatikana UN hakuna kitu kinaitwa Tanganyika
 
Mkristo hawezi kumwita Muislam Kafir, it is opposite. Ni muislam tu wa Bara atamwita mtu mwingine ni Kafir (asiye muislam). Hii ni kujitofautisha na wengine.
sasa kama shida ndo hii tatizo sio zanzibar??? inaonekana kwa upande wako ni uislamu ambapo hapa si mahali pake kujadili labda ufungue uzi wa kidini
 
Kuna GOP wengi sana ambao ni bumpkins kama wewe, sometimes charter never change with what level of education you have! Big difference if we were only Tanganyikans! Zanzibar has big influence especially after the 1977 constitution amendment. Ingekuws siyo hiyo Mwinyi na Samia hawangekuwa Rais na hatungekuwa hapa. Big influence
Nonsense and irrelevant argument
 
Ni mjinga pekee anaweza kuwakubali wazanzibar na wakati wazanzibar ni wabaguzi wakubwa haswa
unajua ninyi msichokielewa ni kwamba wazanzibar whether ni wabaguzi au si wabaguzi lakini wapo kwenye Muungano kwa mujibu wa sheria ...hata hizo privilages mnazolalamikia wanazipata zipo kwa mujibu wa sheria. kumkubali mtu au kumkataa ni suala la mtu husika na halihitaji mjadala...hata hapa bara pia baadhi ya makabila hayakubaliani ni mambo ya kawaida tu
 
Ndiyo tunataka huu muungano fake uvunjwe haraka hauna faida kwa mtu wa bara hauko sawa
 
Hamna kitu kinaitwa Tanganyika bwana!! Acheni kukaririshwa na wanaharakati uchwara
Nchi mbili ambazo ni Zanziba na Tanganyika ziliungana kuunda jamhuri ya muungano ya Tanzania. Kwa haraka haraka waweza kusema Tanzania siyo nchi.
 
Watanganyika wameanza kuteswa,kama Uzi unavyojieleza
 
Attachments

  • 1727068249690.png
    1727068249690.png
    51.6 KB · Views: 1
 
Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.

Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.

Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.

Hivyo, watakaoumia na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi? Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?

Ni jambo la kushangaza kuona watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu milioni 60.

Hii si sawa! Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali asili au eneo.
Huu ni uchochezi wa kipumbavu kabisa!!! kwahiyo kwa unavyosema si haki kiongozi kutoka ZNZ kwa kuwa wenyewe ni wachache lakini haki ni wao kutawaliwa tu? si ndio?

Huu ni uchochezi na watu kama wewe mkiachiwa ndo mnaotuharibia nchi!!!
 
Wanatawaliwa na nani! Katiba wanayo,Rais wanae,Baraza la mawaziri mnalo!
 
Nchi mbili ambazo ni Zanziba na Tanganyika ziliungana kuunda jamhuri ya muungano ya Tanzania. Kwa haraka haraka waweza kusema Tanzania siyo nchi.
Kama hauna akili. Wenye akili wanaangalia nani ana kiti kule UN
 
Back
Top Bottom