Watanganyika amkeni tujitafakari haraka ! Tunapigwa na kitu kizito

Acha chokochoko za kibaguzi ndugu...hao wote unaowaita wazanzibar wapo kwa mujibu wa sheria na taratibu ya nchi yetu...
Haichi kuwa wabaguzi, kuna ubaguzi inborn na kuna wa kujifunza, mtu anayekuita Kafir hawezi kukuheshimu tena kwa sababu kishakufanya wewe grade nyingine. Anafanya na kusema mazuri ukiwa naye, wakikutana pembeni wenyewe wanakandia
 
Kaka kukuita kafir sio lazima awe mzanzibar hata hapa Tanzania Bara wengi tu wanaita wengine makafiri na wala hawana Uzanzibari wowote...usiipinge Zanzibar kwa udini Mzee...ni jambo baya zaidi kwa muunganiko wa taifa letu
 
Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.

Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.

Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.

Hivyo, watakaoumia na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi? Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?

Ni jambo la kushangaza kuona watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu milioni 60.

Hii si sawa! Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali asili au eneo.

Nyie wenyewe mnawagawa Watanganyika. Mnawaita Sukuma gang, kwamba wote wana mipango mibovu na Tanzania. Mama anaupiga mwingi, wauwe, wafukuze wasukuma wote tutakuunga mkono. Hawa ni washamba, ila ukitugusa sisi tunjiita watoto wa mjini, wenye nchi, wasomi tunalia.
 
Ina maana mikoa 30 iliyo bara ina watu 60 million plus+ inaongozwa na mtu kutoka kule!
Wale wa kule wako 1.5 million wanaongozwa na WA kwao.
Ila yule wa kule Bado akija huku, ni kiongozi,, jamani!

Watu waliosoma political science na law, na utawala waje humu watuelimishe
 
Kaka kukuita kafir sio lazima awe mzanzibar hata hapa Tanzania Bara wengi tu wanaita wengine makafiri na wala hawana Uzanzibari wowote...usiipinge Zanzibar kwa udini Mzee...ni jambo baya zaidi kwa muunganiko wa taifa letu
Mkristo hawezi kumwita Muislam Kafir, it is opposite. Ni muislam tu wa Bara atamwita mtu mwingine ni Kafir (asiye muislam). Hii ni kujitofautisha na wengine.
 
Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.

Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.

Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.

Hivyo, watakaoumia na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi? Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?

Ni jambo la kushangaza kuona watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu milioni 60.

Hii si sawa! Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali asili au eneo.
Kujadili nini? Jazba na chuki

Kama unataka wakusikie hao unaowaita watanganyika, toka humu shimoni uingie barabaran mkoa hadi mkoa. Vyenginevyo unapoteza bando lako na kujitia maradhi yanayoweza kuepukika. Depression wakat mwengine unaipata kwa kujitakia kwa mambo ya hovyo kabisa. Hakuna maandamano!
 
Nimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania. Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika. Tanganyika ili cease 1964 na sijawahi kupungukiwa kitu kwa kutokuwapo kwa Tanganyika
Kuna GOP wengi sana ambao ni bumpkins kama wewe, sometimes charter never change with what level of education you have! Big difference if we were only Tanganyikans! Zanzibar has big influence especially after the 1977 constitution amendment. Ingekuws siyo hiyo Mwinyi na Samia hawangekuwa Rais na hatungekuwa hapa. Big influence
 
Mtanganyika mwenye PhD Tena ya UDSM ,ukimkuta anaongelea muungano, Bora std seven.
Sidhani kama upstairs za wabongo ziko sawa!
Sasa UDSM inaingiaje hapa? Yaonekana ndugu una BIFU na UDSM. Hebu kwanza taja elimu yako na chuo ulichosoma, pengine tunaweza kukusaidia kwa tiba ya kisaikolojia
 
Ina maana mikoa 30 iliyo bara ina watu 60 million plus+ inaongozwa na mtu kutoka kule!
Wale wa kule wako 1.5 million wanaongozwa na WA kwao.
Ila yule wa kule Bado akija huku, ni kiongozi,, jamani!

Watu waliosoma political science na law, na utawala waje humu watuelimishe
Mediocre mind with stupid ideas. Hebu weka elimu yako hapa kwanza tujuwe tuna argue na ngumbaro au kindergarten
 
Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.

Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.

Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.

Hivyo, watakaoumia na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi? Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?

Ni jambo la kushangaza kuona watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu milioni 60.

Hii si sawa! Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali asili au eneo.
Watanganyika hatuna akili hata kidogo, tunatawaliwaje na mtu wa kuja tena anatutesa hivi?
 
Back
Top Bottom