Usisahau pia hii datas Zanzibar ni < 2000 km^2 vs Bara > 9 00 000 au zaidi ya laki tisa, hivyo uko hapa kulalamikia eneo la square meta chini ya 2000 Elfu mbili wakati wewe unaishi sq meta zaidi ya laki tisa.
Kama ni Bandari unalalamikia Bara zipo kibao Dar, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, huko Ziwa Nyasa kama ni Old town inakusumbua Bara kuna Kilwa, Mikindani, Bagamoyo hata Ujiji tunaweza kuifanya old town.
Kama ni ajira unaongelea nina uhakika ajira zote ambazo Wazanzibari wanazo bara hawazidi watu 500 Serikalini sasa hata kama wakiziachia wakawapa Bara itabadilisha nini kwenye nchi yenye zaidi ya watu milioni 45 ?
Hata kama ni < watu 500 unaona kidogo while wabara kule zenji ni 0 this is not fair