1. Wazanzibari walipoambiwa Zanzibar kuna mafuta walipambana hadi wakaondoa mafuta kwenye mambo ya Muungano lakini bado hela ya madini ya Mererani inaenda kununua CT scan hospitali za Pemba.
2. Wamepambana kuondoa bandari ya Zanzibar chini ya TPA na kuanzisha mamlaka yao ya bandari lakini bado mapato ya TPA yanaenda kulipa mishahara ya watumishi wa muungano kutoka Zanzibar.
3. 21% ya ajira za muungano ni Zanzibar hata kama Mtanganyika atakuwa na Masters na Mzanzibari akiwa na Diploma atachukuliwa mwenye Diploma ili kukamilisha asilimia yao.
4. Ajira za Zanzibar wamepambana mpaka wameweka kitambulisho cha "Uzanzibari ukaazi"ili kuwatenga Watanganyika.
5. Ajira za Tanganyika Wazanzibari wanaingia kama Watanzania.
Viongozi wa Tanganyika haya mambo mnaona kawaida sababu nyinyi mnakula kwa urefu wa kamba na watoto wenu hawana shida ya ajira mnaweza kuwaweka taasisi yeyote.
IPO siku yaja hiki kizazi cha shule za kata kinachozagaa mtaani kitawageuka hamtoamini.
Wasalaam!