Watanganyika do we have "BALLS"

Watanganyika do we have "BALLS"

1. Wazanzibari walipoambiwa Zanzibar kuna mafuta walipambana hadi wakaondoa mafuta kwenye mambo ya Muungano lakini bado hela ya madini ya Mererani inaenda kununua CT scan hospitali za Pemba.

2. Wamepambana kuondoa bandari ya Zanzibar chini ya TPA na kuanzisha mamlaka yao ya bandari lakini bado mapato ya TPA yanaenda kulipa mishahara ya watumishi wa muungano kutoka Zanzibar.

3. 21% ya ajira za muungano ni Zanzibar hata kama Mtanganyika atakuwa na Masters na Mzanzibari akiwa na Diploma atachukuliwa mwenye Diploma ili kukamilisha asilimia yao.

4. Ajira za Zanzibar wamepambana mpaka wameweka kitambulisho cha "Uzanzibari ukaazi"ili kuwatenga Watanganyika.

5. Ajira za Tanganyika Wazanzibari wanaingia kama Watanzania.

Viongozi wa Tanganyika haya mambo mnaona kawaida sababu nyinyi mnakula kwa urefu wa kamba na watoto wenu hawana shida ya ajira mnaweza kuwaweka taasisi yeyote.
IPO siku yaja hiki kizazi cha shule za kata kinachozagaa mtaani kitawageuka hamtoamini.
Wasalaam!
wazanzibar ni wake zetu, lazma tuwabembeleze warembo hao. Siku zote ukitaka kumla mwanamke lazma umvute karibu yako na kumbembeleza kwa maneno mataaaaaamu na kumpa baadhi ya vitu vizuri vizuri.
 
Huu muungano hauna faida kwa Tanzania bara...

hao nguchiro tuwaache wawe kama ndugu zao comoro ...finish
Unafikiri hata wakiwa wenyewe watapiga hatua kama wanavyodhani ? Hakuna kitu pale. Utalii na karafuu tu nothing more
 
Wazanzibari hawafiki 500 kwenye ajira Muungano? Uko serious kweli wewe?
Hizo 500 polisi tu wanazidi

Ok tuseme basi 2 000, bado ni ndogo sana hata kuilalamikia ukichukulia Bara kuna watu zaidi milioni 45 !
 
Usisahau pia hii datas Zanzibar ni < 2000 km^2 vs Bara > 9 00 000 au zaidi ya laki tisa, hivyo uko hapa kulalamikia eneo la square meta chini ya 2000 Elfu mbili wakati wewe unaishi sq meta zaidi ya laki tisa.

Kama ni Bandari unalalamikia Bara zipo kibao Dar, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, huko Ziwa Nyasa kama ni Old town inakusumbua Bara kuna Kilwa, Mikindani, Bagamoyo hata Ujiji tunaweza kuifanya old town.

Kama ni ajira unaongelea nina uhakika ajira zote ambazo Wazanzibari wanazo bara hawazidi watu 500 Serikalini sasa hata kama wakiziachia wakawapa Bara itabadilisha nini kwenye nchi yenye zaidi ya watu milioni 45 ?
we jamaa hizi data zako ndio maana Magufuli alipiga marufuku kuongea bila takwimu😂, kwamba una uhakika wazenji hawazidi 500 kwenye ajira za Tanganyika
unajua police,zima moto,TPDF,TRA nk kuna wazanzibar kote huko ?
 
Sawa basi tuseme 5000, hapo vipi?
 
Sawa basi tuseme 5000, hapo vipi?
Bado huelewi unachokiongea
1. Idadi ya polisi wote Tanzania 21% Zanzibar
2. Jwtz wote 21% Zanzibar
3. Uhamiaji wote 21% Zanzibar
4. Usalama wa taifa wote 21% Zanzibar
Mashirika
1. TTCL
2. TCRA
3. BOT
4. TASAC
5. TMDA
6. TBS
7. TBC
8. TCC
9. e.t.c
Kote huko mgawanyo ni huo huo 79% kwa 21%
Hapo ongelea watumishi laki 1 plus
 
Kama hayo uliyoandika ni ya kweli basi Zanzibar hakuna tatizo la ajira kabisa, kwa maana Zanzibar ina watu kama milioni moja na laki tano (~1 500 000) hiyo Idadi inajumlisha Wazee, watoto, wanafunzi, wagonjwa, walemavu wote, sasa ukichukulia workforce au watu wanaoweza kufanya kazi unaweza kupata kama labda laki 5 hivi, sasa kama kwenye hiyo laki 5 zaidi ya laki moja kulingana na maelezo yako wameajiriwa ina maana Zanzibar hakuna tatizo la ajira kwa maana kuna sekta binafsi pia kama
Utalii ambayo haujaiweka kwenye analysis yako.

Hivyo kwa mujibu wa maelezo yako Zanzibar ina middle class kubwa na hakuna umaskini kama ni kweli watu wote hao wana ajira …
 
we jamaa hizi data zako ndio maana Magufuli alipiga marufuku kuongea bila takwimu[emoji23], kwamba una uhakika wazenji hawazidi 500 kwenye ajira za Tanganyika
unajua police,zima moto,TPDF,TRA nk kuna wazanzibar kote huko ?
Kwenye taasisi zilokuwa chini ya muungano ni kama vile wamebadilishana maana hata znz kuna wanavikosi wengi kutoka bara wanafanyia kazi znz. Usisahau na uhamiaji na tra.

Zanzibar nayo inatoa sana ajira kwa Tanzania bara kupitia huo utalii, asilimia zaidi ya sabini ya wanaofanya kazi mahotelini ni kutoka Tanzania bara. Hapo bado wasaidizi wa kazi za majumbani.

Yawezekana kweli huu muungano no wachache wanaonufaika nao maana akitokea mtu au kikundi cha watu kudai kuvunjika kwa huu muungano au hata kutoa maoni ya kuundwa kwa Serikali tatu.......matokeo yake nafkiri wengi wetu tunafahmu huwaje (refer uamsho waliokuwa wanadai zanzibar yenye mamlaka kamili)
 
1. Wazanzibari walipoambiwa Zanzibar kuna mafuta walipambana hadi wakaondoa mafuta kwenye mambo ya Muungano lakini bado hela ya madini ya Mererani inaenda kununua CT scan hospitali za Pemba.

2. Wamepambana kuondoa bandari ya Zanzibar chini ya TPA na kuanzisha mamlaka yao ya bandari lakini bado mapato ya TPA yanaenda kulipa mishahara ya watumishi wa muungano kutoka Zanzibar.

3. 21% ya ajira za muungano ni Zanzibar hata kama Mtanganyika atakuwa na Masters na Mzanzibari akiwa na Diploma atachukuliwa mwenye Diploma ili kukamilisha asilimia yao.

4. Ajira za Zanzibar wamepambana mpaka wameweka kitambulisho cha "Uzanzibari ukaazi"ili kuwatenga Watanganyika.

5. Ajira za Tanganyika Wazanzibari wanaingia kama Watanzania.

Viongozi wa Tanganyika haya mambo mnaona kawaida sababu nyinyi mnakula kwa urefu wa kamba na watoto wenu hawana shida ya ajira mnaweza kuwaweka taasisi yeyote.
IPO siku yaja hiki kizazi cha shule za kata kinachozagaa mtaani kitawageuka hamtoamini.
Wasalaam!
Ili kuonyesha wametuchoka,wamefuta tv kwa miezi miwili sasa
 
Kama hayo uliyoandika ni ya kweli basi Zanzibar hakuna tatizo la ajira kabisa, kwa maana Zanzibar ina watu kama milioni moja na laki tano (~1 500 000) hiyo Idadi inajumlisha Wazee, watoto, wanafunzi, wagonjwa, walemavu wote, sasa ukichukulia workforce au watu wanaoweza kufanya kazi unaweza kupata kama labda laki 5 hivi, sasa kama kwenye hiyo laki 5 zaidi ya laki moja kulingana na maelezo yako wameajiriwa ina maana Zanzibar hakuna tatizo la ajira kwa maana kuna sekta binafsi pia kama
Utalii ambayo haujaiweka kwenye analysis yako.

Hivyo kwa mujibu wa maelezo yako Zanzibar ina middle class kubwa na hakuna umaskini kama ni kweli watu wote hao wana ajira …
Sensa ya mwaka 2012, Zanzibar ina watu 1.504 milioni. Hawa walikutwa kwenye ardhi ya Zanzibar usiku wa sensa. Ila kuna Wazanzibari zaidi ya laki 5 waishio nje ya Zanzibar ikiwemo Tanganyika ambao hawa walihesabiwa Rukwa, Mbagala, Manyovu, Uyole, Nangurukulu hadi Mtambaswala. Hivyo idadi ya wazanzibari inakadiriwa kuwa milioni 2 plus.
Ulimsikia Shamsi Nahodha bungeni mwaka juzi ?
Alisema wazanzibari wote waishio nje wakirudi Zanzibar kuishi kwao ndani ya muda mfupi hakutakuwa na ardhi ya kuwatosha.
 
Hilo ni swala lingine sasa usisahau pia kuna Wabara wengi tu wanafanya kazi Zanzibar kwenye tourism industry!
 
Kwenye taasisi zilokuwa chini ya muungano ni kama vile wamebadilishana maana hata znz kuna wanavikosi wengi kutoka bara wanafanyia kazi znz. Usisahau na uhamiaji na tra.

Zanzibar nayo inatoa sana ajira kwa Tanzania bara kupitia huo utalii, asilimia zaidi ya sabini ya wanaofanya kazi mahotelini ni kutoka Tanzania bara. Hapo bado wasaidizi wa kazi za majumbani.

Yawezekana kweli huu muungano no wachache wanaonufaika nao maana akitokea mtu au kikundi cha watu kudai kuvunjika kwa huu muungano au hata kutoa maoni ya kuundwa kwa Serikali tatu.......matokeo yake nafkiri wengi wetu tunafahmu huwaje (refer uamsho waliokuwa wanadai zanzibar yenye mamlaka kamili)
yah wenye uwezo wa kupinga huu muungano wananufaika nao ndio maana hawaoni sababu hata moja ya kuuvunja, alafu ndio maana CCM wameweka ahadi ya kuulinda muungano kwenye kiapo cha Rais
 
Back
Top Bottom