Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka wa pili huu watu wanakaribia milion waliokufa kutokana na vita inazidi hata vifo vya
Gaza
Unajua chanzo?
Chanzo kilianzia kwa rais wao bashir aliuza raslimali zote kwa waarabu kwa hiyo uchumi wa sudan
Ukawa unashikiliwa na waarabu na baadhi ya watu weusi wachache waliokua karibu na bashir
Waarabu wakakishika chama tawala hadi bungeni
Watu weusi wakageuka watumwa ndani ya nchi
Ghafla bashir akatangaza sudan ni nchi ya kiislam,wasio waislam wakawa wanalengwa na
Makanisa kufungwa
Mauaji mengi yalitokea waarabu wakimwaga pesa
Hii ilipelekea kuzaliwa mataifa mawili sudan
Na
Sudani kusini
Lkn ubaguzi haukuishia hapo waislam weupe wenye asili ya uarabu
Wakaanza
Kuwaona waislam weusi sio wasudan ndio vita vinavyoendelea huko
Senegal ni nchi ya kiislam ilikataa kukaribisha waarabu ona ilivyo na amani
Mm ni kijana mdogo nina uchungu na nchi yangu ila humu utakuta mzee wa miaka 40 anahangaika na simba na yanga
Amkeni nchi inateketezwa wakubwa