Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Kwanza kabisa ni muungano ambao wananchi hawakushirikishwa kuhusu muungano wenyewe.
Baraza la wawakikishi halikurudhia kuwepo kwa muungano huu. Ratification haikufanyika kabisa.
Wazanzibari hawautaki Muungano tangu zamani. Muungano ulifanyika kwa hofu tu kuw Waarabu watarudi kuchukua nchi waliyokalia kwa miaka mingi.
Kwa namna hali inavyoenda na Zanzibar wao kujiona kama Sovreign state automatically Muungano unakwenda kuvunjika.
Hakuna haja ya kutumia nguvu. Na hili litatokea ndani ya miaka kumi ijayo.