Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kwa vile rais ajaye sio Mtanganyika, ni Mtanzania, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa Tanzania, hivyo hakuna Mtanganyika, tuna Mtanzania tuu, ila ndani ya Mtanzania, tuna Mzanzibar mkaazi, ila Wazanzibari wote wana haki zote za Mtanzania, huo Uzanzibari ni ziada. Huyo rais ajaye!, atawanyorosha!, na ikitokea akaingia kabla ya katiba mpya, atawashikisha adabu Wazanzibari. Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!pascal kama tu sara rais anatoka zanzibar hali iko hivi, je rais akiwa mtanganyika hali si itakuwa tete? Kumbuka wale mashaikh wa uamsho. Bila shaka rais ajaye atakuwa ni mtanganyika, wazanzibar watainuka kwa kasi mpya kudai watoke. Kama wakiinuka kiholela holela watawekwa ndani wengi tu mpaka aje rais mzanzibar awatoe. Cha kuzingatia acheni muungano ujifie wenyewe kimyakimya bila kuleta athari ya watu kuwekwa ndani. Ndoa inayojifia yenyewe bila ugomvi/kuumizana mbele huweza kuinuka tena na kuwa imara
P