Muungano unakufa wenyewe. Dalili zipo wazi.pascal kama tu sara rais anatoka zanzibar hali iko hivi, je rais akiwa mtanganyika hali si itakuwa tete? Kumbuka wale mashaikh wa uamsho. Bila shaka rais ajaye atakuwa ni mtanganyika, wazanzibar watainuka kwa kasi mpya kudai watoke. Kama wakiinuka kiholela holela watawekwa ndani wengi tu mpaka aje rais mzanzibar awatoe. Cha kuzingatia acheni muungano ujifie wenyewe kimyakimya bila kuleta athari ya watu kuwekwa ndani. Ndoa inayojifia yenyewe bila ugomvi/kuumizana mbele huweza kuinuka tena na kuwa imara
Kawe 2030 mbunge wetu ni Halima Mdee. Vinginevyo tutagawana mbao.Kwa vile rais ajaye sio Mtanganyika, ni Mtanzania, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa Tanzania, hivyo hakuna Mtanganyika, tuna Mtanzania tuu, ila ndani ya Mtanzania, tuna Mzanzibar mkaazi, ila Wazanzibari wote wana haki zote za Mtanzania, huo Uzanzibari ni ziada. Huyo rais ajaye!, atawanyorosha!, na ikitokea akaingia kabla ya katiba mpya, atawashikisha adabu Wazanzibari. Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!
P
Umechelewa.Kwanza kabisa ni muungano ambao wananchi hawakushirikishwa kuhusu muungano wenyewe.
Baraza la wawakikishi halikurudhia kuwepo kwa muungano huu. Ratification haikufanyika kabisa.
Wazanzibari hawautaki Muungano tangu zamani. Muungano ulifanyika kwa hofu tu kuw Waarabu watarudi kuchukua nchi waliyokalia kwa miaka mingi.
Kwa namna hali inavyoenda na Zanzibar wao kujiona kama Sovreign state automatically Muungano unakwenda kuvunjika.
Hakuna haja ya kutumia nguvu. Na hili litatokea ndani ya miaka kumi ijayo.
Suala ni kwamba wao Zanzibar hawataki hiyo serikali moja kwasababu itawafanya kuwa kama mkoa ndani ya Tanzania, uliza vizuri hata wananchi wao wanakazia sana kuwa Zanzibar ni nchi na ni nadra sana wak kujitambulisha kama waTz hasa wakiwa nje ya nchi wakiulizwa utaifa wao wanajibu Zanzibar, hata wangepewa nafasi passport zao ziandikwe uraia wanaoutaka wangefuta ile Tanzanian na kujiandikia Zanzibarian. Tulipofika ni pabaya sana na tumeshachelewa kuwaza serikali moja.Ukisikia uzalendo ndio huu, twende kwenye serikali moja!.
p
Ulinzi wa press card inaendeleaWale wote mnaosubiri kwa hamu, huu muungano wetu adhimu na adimu uvunjike, mtasubiri sana!.
P
Ni kweli kabisa, kama unaitegemea press yako kuendesha maisha yako, utailinda kwa gharama yoyote kwa jinsi ile ile Tanzania ni nchi moja ya JMT, hivyo huu muungano wetu adhimu na adimu, tutaulinda kwa gharama yoyote na hata Ikibidi kugharamiwa kwa gharama ya machozi, jasho na damu, tutailipia tuu!.Ulinzi wa press card inaendelea
Una faida gani mkuu kwa Mtanganyika? Nifafanulie naweza kubadili mwelekeo nikaupendaWale wote mnaosubiri kwa hamu, huu muungano wetu adhimu na adimu uvunjike, mtasubiri sana!.
P
Baba Tanganyika alimpenda sana binti mrembo Zanzi akamuoa na kufuta utaifa wake na kugeuka Tanzania, bila muungano hakuna Tanzania na Tanganyika alikufa na tukazika kitambo.Una faida gani mkuu kwa Mtanganyika? Nifafanulie naweza kubadili mwelekeo nikaupenda
Pengine huelewi. Huu muungano umeshavunjika kale kwa mujibi wa Sheria. Kilichobakia ni kutumia nguvu tu kuunakisha ila haupo.Kwa namna hali inavyoenda na Zanzibar wao kujiona kama Sovreign state automatically Muungano unakwenda kuvunjika.
Bado sijapata faida kwa mimi, nipe faida mkuu mana mimi sikuepoBaba Tanganyika alimpenda sana binti mrembo Zanzi akamuoa na kufuta utaifa wake na kugeuka Tanzania, bila muungano hakuna Tanzania na Tanganyika alikufa na tukazika kitambo.
P
wazanzibari sio WatanganyikaNi kweli kabisa, kama unaitegemea press yako kuendesha maisha yako, utailinda kwa gharama yoyote kwa jinsi ile ile Tanzania ni nchi moja ya JMT, hivyo huu muungano wetu adhimu na adimu, tutaulinda kwa gharama yoyote na hata Ikibidi kugharamiwa kwa gharama ya machozi, jasho na damu, tutailipia tuu!.
Hawa Wazanzibar wanaoleta chokochoko kuuchokoa muungano, nawashauri hizo chokochoko zao, wamchokoe pweza, muungano hawatauweza!.
P
Yes Wazanzibari sio Watanganyika, baada ta Tanganyika na Zanzibar kuungana, ilizaliwa nchi moja mpya ya Tanganyika, Uzanzibari na Utanganyika ulikufa, ukazaliwa Utanzania, hivyo Wazanzibari ni Watanzania, na waliokuwa Watanganyika ni Watanzania, nchi inaitwa Tanganyika ilikufa, ikageuka Tanzania, na nchi iliyoitwa Zanzibar, nayo ilikufa, ila likabaki eneo la iliyokuwa nchi ya Zanzibar, ambalo bado linaitwa Zanzibar ila sii nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani.wazanzibari sio Watanganyika
Mpaka sasa hakuna nchi moja. Usitudanganye. Wadanganye wajinga wenzako. Kwa nini rais wa Zanzibar anapigiwa mizinga 21 wakati wa sherehe za mapinnsuzi ya Zanzibar?Yes Wazanzibari sio Watanganyika, baada ta Tanganyika na Zanzibar kuungana, ilizaliwa nchi moja mpya ya Tanganyika, Uzanzibari na Utanganyika ulikufa, ukazaliwa Utanzania, hivyo Wazanzibari ni Watanzania, na waliokuwa Watanganyika ni Watanzania, nchi inaitwa Tanganyika ilikufa, ikageuka Tanzania, na nchi iliyoitwa Zanzibar, nayo ilikufa, ila likabaki eneo la iliyokuwa nchi ya Zanzibar, ambalo bado linaitwa Zanzibar ila sii nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani.
Kitendo cha mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010, kuifufua nchi ya Zanzibar ni uhaini Tanzania Nchi 1 ya JMT, Zanzibar Kujiita Nchi, Sio Uhaini?. Zanzibar Iadabishwe Kuondoa Ubatili wa Katiba Yake ili Tuitambue au Tumchelee Mwana Kulia?
P
Urusi,Roman Empire,etc etc zote zilisambaratika. Samia ukitaka kuona maendeleo ,furaha, na ujirani mwema wa watanganyika na wanzanzibari vunja huu muungano. Mama sambaratisha muungano leo.Wale wote mnaosubiri kwa hamu, huu muungano wetu adhimu na adimu uvunjike, mtasubiri sana!.
P
Mkuu Idu, Idugunde , kiukweli hii ni jeuri tuu, ila maadam ina mamlaka yake ya ndani, ilitakiwa apigiwe mizinga 19 na sio 21!, nchi moja yenye rais mmoja, ambaye ni amiri jeshi ni mmoja tuu wa kupigiwa mizinga 21, huyu rais wa Zanzibar amejiita amiri jeshi mkuu wa wale migambo wa KMKM, JKU na Vikosi maalum, ila hayo ni mambo yake ndani sisi hayatuhusu.Mpaka sasa hakuna nchi moja. Usitudanganye. Wadanganye wajinga wenzako. Kwa nini rais wa Zanzibar anapigiwa mizinga 21 wakati wa sherehe za mapinnsuzi ya Zanzibar?
Kwa hiyo kabaki mama tuu!Baba Tanganyika alimpenda sana binti mrembo Zanzi akamuoa na kufuta utaifa wake na kugeuka Tanzania, bila muungano hakuna Tanzania na Tanganyika alikufa na tukazika kitambo.
P