Wale wote mnaosubiri kwa hamu, huu muungano wetu adhimu na adimu uvunjike, mtasubiri sana!.Kwanz kabisa ni muungano ambao wananchi hawakushirikishwa kuhusu muungano wenyewe.
Baraza la wawakikishi halikurudhia kuwepo kwa muungano huu. Ratification haikufanyika kabisa.
Wazanzibari hawautaki Muungano tangu zamani. Muungano ulifanyika kwa hofu tu kuw Waarabu watarudi kuchukua nchi waliyokalia kwa miaka mingi.
Kwa namna hali inavyoenda na Zanzibar wao kujiona kama Sovreign state automatically Muungano unakwenda kuvunjika.
Hakuna haja ya kutumia nguvu. Na hili litatokea ndani ya miaka kumi ijayo.
Pascal wakati ni ukuta, moja ya sababu ya Nyerere kutaka muundo tulionao wa muungano ni kujua kizazi cha nne kingedai serikali moja baada ya kuona manufaa ya muungano.Wale wote mnaosubiri kwa hamu, huu muungano wetu adhimu na adimu uvunjike, mtasubiri sana!.
P
Paskali analitambua hili. Ila anajifanya kichwa ngumu.Pascal wakati ni ukuta, moja ya sababu ya Nyerere kutaka muundo tulionao wa muungano ni kujua kizazi cha nne kingedai serikali moja baada ya kuona manufaa ya muungano.
Mambo yamekuwa kinyume, katiba imevunjwa waziwazi bila wahusika kuchukuliwa hatua hivyo kwa sasa hatuna muungano tunasubiri tu uvunjike rasimi na kila mtu abebe mbao zake.
Huu muungano nao sidhani kama utadumu baada ya 2030.Wale wote mnaosubiri kwa hamu, huu muungano wetu adhimu na adimu uvunjike, mtasubiri sana!.
P
Unakusaidia na umekusaidia nini zaidi ya kulitumia neno "adhimu" ili lisiozee kwenye kamusi?Wale wote mnaosubiri kwa hamu, huu muungano wetu adhimu na adimu uvunjike, mtasubiri sana!.
P
Bungeni sasa hivi imefikia wanakatazana wasiujadili😁Huu muungano nao sidhani kama utadumu baada ya 2030.
Miaka kumi ni mingi mno, we ain't willing to wait for that long. Muungano uchwara huu unapaswa kuvunjika, tunanyonyana, tunauana, hatupendani na pande zote majority hawautaki kabisa sasa kwanini uendelee kuwepo?Kwanz kabisa ni muungano ambao wananchi hawakushirikishwa kuhusu muungano wenyewe.
Baraza la wawakikishi halikurudhia kuwepo kwa muungano huu. Ratification haikufanyika kabisa.
Wazanzibari hawautaki Muungano tangu zamani. Muungano ulifanyika kwa hofu tu kuw Waarabu watarudi kuchukua nchi waliyokalia kwa miaka mingi.
Kwa namna hali inavyoenda na Zanzibar wao kujiona kama Sovreign state automatically Muungano unakwenda kuvunjika.
Hakuna haja ya kutumia nguvu. Na hili litatokea ndani ya miaka kumi ijayo.
Wale wote mnaosubiri kwa hamu, huu muungano wetu adhimu na adimu uvunjike, mtasubiri sana!.
P
Huu muungano ni batili tangu ulipoasisiwa. Hakuna mtanganyika aliyemtuma nyerere, wala mzanzibari aliyemtuma karume kuunganisha nchi.Kwanza kabisa ni muungano ambao wananchi hawakushirikishwa kuhusu muungano wenyewe.
Baraza la wawakikishi halikurudhia kuwepo kwa muungano huu. Ratification haikufanyika kabisa.
Wazanzibari hawautaki Muungano tangu zamani. Muungano ulifanyika kwa hofu tu kuw Waarabu watarudi kuchukua nchi waliyokalia kwa miaka mingi.
Kwa namna hali inavyoenda na Zanzibar wao kujiona kama Sovreign state automatically Muungano unakwenda kuvunjika.
Hakuna haja ya kutumia nguvu. Na hili litatokea ndani ya miaka kumi ijayo.
Wanatuma salamu kwa machogo.Wala urojo wanasemaje
Kama nakuelewa hivi mkuu ! Hili jibu sidhani kama ni huu MuunganoHuu muungano nao sidhani kama utadumu baada ya 2030.
Ukisikia uzalendo ndio huu, twende kwenye serikali moja!.Neno adimu ni sawa kwa sababu siyo wa kawaida, na hivyo muungano Ili uendelee kuwepo, ni lazima ufanyiwe marekebisho haraka sana. Njia pekee ni kuwa na serikali moja. Tuingie kwenye utawala wa majimbo, halafu kuwepo na jimbo la Zanzibar.
Nguo ikichakaa haina repair, itachanika tu.Kwanza kabisa ni muungano ambao wananchi hawakushirikishwa kuhusu muungano wenyewe.
Baraza la wawakikishi halikurudhia kuwepo kwa muungano huu. Ratification haikufanyika kabisa.
Wazanzibari hawautaki Muungano tangu zamani. Muungano ulifanyika kwa hofu tu kuw Waarabu watarudi kuchukua nchi waliyokalia kwa miaka mingi.
Kwa namna hali inavyoenda na Zanzibar wao kujiona kama Sovreign state automatically Muungano unakwenda kuvunjika.
Hakuna haja ya kutumia nguvu. Na hili litatokea ndani ya miaka kumi ijayo.
pascal kama tu sara rais anatoka zanzibar hali iko hivi, je rais akiwa mtanganyika hali si itakuwa tete? Kumbuka wale mashaikh wa uamsho. Bila shaka rais ajaye atakuwa ni mtanganyika, wazanzibar watainuka kwa kasi mpya kudai watoke. Kama wakiinuka kiholela holela watawekwa ndani wengi tu mpaka aje rais mzanzibar awatoe. Cha kuzingatia acheni muungano ujifie wenyewe kimyakimya bila kuleta athari ya watu kuwekwa ndani. Ndoa inayojifia yenyewe bila ugomvi/kuumizana mbele huweza kuinuka tena na kuwa imaraWale wote mnaosubiri kwa hamu, huu muungano wetu adhimu na adimu uvunjike, mtasubiri sana!.
P