M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,285 Reaction score 13,703 Jan 10, 2026 #1 Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake
Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 9,253 Reaction score 13,581 Jan 11, 2026 #2 Kwa maneno mengine anatubeza "nimemteua mwanangu!" Mnachotaka ni nini na Mtafanya nini?
A Adabwash Senior Member Joined Feb 11, 2019 Posts 144 Reaction score 288 Jan 11, 2026 #3 Wivu,choyo MlimaSayuni said: Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake Click to expand... MlimaSayuni said: Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake Click to expand... Ubaguzi,udini,wivu na choyo vitakumaliza kidogo kidogo
Wivu,choyo MlimaSayuni said: Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake Click to expand... MlimaSayuni said: Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake Click to expand... Ubaguzi,udini,wivu na choyo vitakumaliza kidogo kidogo
M Msemahaki kapata Rungu JF-Expert Member Joined Dec 2, 2025 Posts 267 Reaction score 149 Jan 11, 2026 #4 MlimaSayuni said: Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake Click to expand... Mijitu ya ubaguzi. Katika karne hii umejikita na Tanganyika...tanganyika, Znzbar...Znzibar, badala ya kufikiria maendeleo. Eti watanganyika! Tafadhali, tuheshimiane.. usinjimuishe kamwe kwenye ujima kama huo.
MlimaSayuni said: Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake Click to expand... Mijitu ya ubaguzi. Katika karne hii umejikita na Tanganyika...tanganyika, Znzbar...Znzibar, badala ya kufikiria maendeleo. Eti watanganyika! Tafadhali, tuheshimiane.. usinjimuishe kamwe kwenye ujima kama huo.