Watanganyika tuwe Makini: Kauli ya Nchimbi inayotututaka Wananchi kupigania katiba mpya inafikirisha sana

Watanganyika tuwe Makini: Kauli ya Nchimbi inayotututaka Wananchi kupigania katiba mpya inafikirisha sana

Kama ilivyo kwa Jaji Warioba, Dr. Nchimbi, ni miongoni mwa makada wa CCM, wanaojulikana kwa kusimamia wanachokiamini.

Mtakumbuka akiwa mjumbe wa kamati kuu, alitangaza hadharani kujitenga na uamuzi wa kamati kuu uliomuengua Mh. Lowasa kugombea urais.

Tofauti na wabunge wengi ambao wao kustaafu ni eirher ashindwe uchaguzi au afariki, Dr. Nchimbi, alitangaza kustaafu kugombea ubunge kwa hiari baada ya kuwa mbunge kwa vipindi viwili.

Akiwa katibu mkuu wa CCM, alipiga marufuku wimbo wa CCM unaosema, "Wapinzani, tuwalete, tuwachanechane, tuwatupe" Aidha ndie kiongozi pekee aliyemkemea, kada wetu wa UVCCM aliyewaambia polisi, "Tukiwapoteza wanaotukana viongozi msiwatafute"

Sina mashaka kuwa ni hii misimamo yake ndiyo iliyopelekea amebatizwa jina la YUDA.

Mkuu labda lakuongezea kipindi kile walikuwa watatu waliomsumbua mzee Jakaya ni DK Nchimbi Alhaj Kimbisa na Dada yetu
Sofia Simba👈

walikuwa waziwazi wapo na Rip Edward Lowassa!!!

Lkn kwangu kwamaoni yangu namuona Dk Nchimbi kwa kisa kile kinaweza kumuongezea pwent sehemu moja au mbili muhimu
Nitasema moja👈

lkn lolote linawezekana mpira Dkk 90

Sababu yangu yenye nguvu kwasasa

Emanuel Nchimbi wkt wa sekeseke lile yeye alisimama na Rip Edward Lowassa 👈

ambaye ni Mkristo wa dhehebu la KKKT
kamwacha rip Bernard Membe Mkatoliki mwenzie!!

Tunaweza sema DK Nchimbi yupo kitaifa zaidi ayupo
kikatoliki zaidi👈

So labda akiwa yeye yumkin akawa kiongozi mwenye maono makubwa ya Umoja na Serikali yake vigezo vyake vinaweza vikawa vya kitaifa zaidi👈

Sifa kuu kwa mustakabali wa maendeleo ya Tanzania
mpya 👈

Lkn siamini kwasasa kiongozi yoyote mwengine atawekewa shinikizo na Maskofu wa aina hii tulionao kwasasa
kwangu ni masikitiko tu!!

Kwasasa watanzania wenye Akili tushagundua dhamira yao sio njema kwa Taifa👈

yumkin ilikuwa kikwazo kwa Taifa kujitutumua na kujitambua kama Taifa huru✍️

Ushahidi ni huu Dk Rais Samia Suluhu Hassan kaziba masikio kuwausu Baradha la Maskofu Tanzania
Leo Taifa linasonga kwa kasi kubwa zaidi kiuchumi na kimiundombinu nk

Kaweka Wakurugenzi sehemu nyeti muhimu kutokea Zanzibar na leo TRA tunajivunia
makusanyo yake yameongezeka kwa kiwango cha kushangaza Ongezeko la Trilioni 20👈

Kwa ili sio vibaya nikisema Dk Samia kaifungua nchi kimafanikio
kutoka Trilioni 17 za rip JPM mpaka Trilioni 37 👈

Na ndio bado hatujafika 2030👈

Sisi wafiya Tanzania ichi kimefanywa sasa na Dk Samia tunatamani kiendelea zaidi na zaidi na huu mwendo 👈

ili kufikia 2050 Taifa letu lote liondokane kabisa na kitu kinaitwa
Umasikini Ujinga👈

Watanzania wanastahili kutembea kwenye barabara nzuri uduma nzuri za
Afya nk.✍️
 
NAUNGA MKONO HOJA ,kwa ajili ya kuwafurahisha JUMUIYA ZA KIMATAIFA MABEBERU ili kupunguza vikwazo na kwa ajili ya kujitengenezea kukubalika na kuungwa mkono na wananchi wengi pia kutuliza joto lililopo la siasa A upinzani....utapewa katiba mpya yenye marekebisho machache ambayo hayata athiri maslahi ya vigogo.....
Katiba ambayo haitamuondolea Absolute Powers raisi ni Useless. Kwenye huo mchakato lazima wananchi washirikishwe kikamilifu na Concerns zao ziwe kipaumbele.
 
Back
Top Bottom