GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanza hamkujipanga vyema kwa Coverage yake ndiyo maana hata Mitambo yenu kila Saa ilikuwa inakatakata hali ambayo Iliboa na Ilituboa zaidi.
Pili wenye Akili akina GENTAMYCINE tulitegemea kwa Chombo cha Habari kupata ile Fursa basi ndiyo mngeitumia Kumhoji Mambo ( Maswali ) ya Msingi ya kuhusu Awamu yake, aliyoikabidhi na hii ya sasa tuliyopo.
Tatu kilichonishangaza zaidi ni kuona Watangazaji wote waliokuwepo Kumhoji Maswali ya Kitoto mno huku Wote Akili zao zikiwa katika Hafla ya Kula aliyokuwa ameiandaa huyo Kiongozi aliyekuwa na 'Birthday' yake Jana.
Uhovyo hovyo Wenu katika Kujipanga na Kushindwa Kumuuliza Maswali ya Msingi huenda ndiyo ulimpelekea 'Birthday Boy' wa Jana Kukengeuka Kihuni na Kukosa Maadili na kuanza Kucheka cheka tu muda wote, Upuuzi mwingi hadi Kutuinulia Picha ya Mama yake Mzazi na Kututambia 'Kihuni' kuwa ilikuwa Pisi Kali ya Baba yake Mzazi.
Nilichokiona Jana Mkewe amefanya vyema Kimahojiano, alikuwa na Staha Kubwa, Ustaarabu mwingi, Hekima huku akitawaliwa zaidi na Maadili na ndiyo alituvutia Watazamaji wengi kuliko hata Mhusika wa Shughuli yake ambaye kiukweli alituboa.
Mwambieni huyo 'Birthday Boy' wenu wa Jana kuwa 'Birthday' yake ya Mwakani ya Kutimiza miaka yake 73 anialike Mimi tu GENTAMYCINE ( Mtanzania Mnyarwanda ) au awajumuishe na BBC ya Uingereza pamoja na Citizen Tv ya Kenya kisha aniruhusu nimuulize Maswali yangu Saba ( 7 ) tu aone kama ama hatonipiga Kibao ( kama alichowahi Kupigwa Mstaafu Mwenzake ) au hatoamuru Nifukuzwe kabisa eneo la Tukio.
Mwisho ni Ombi ( Wito ) wangu kwamba Boss Mkuu wa Clouds Media Group ( CMG ) jjtahidi sana Uajiri Waandishi wa Habari Werevu na 'Critical Thinkers' hasa na siyo hawa Ulionao sasa kwani karibia 85% ni bure kabisa katika Tasnia Muhimu.
Na hakuna Tukio lililonikera zaidi GENTAMYCINE kama pale Mtangazaji Shaffih Dauda alipokuwa akitembea Kufanya Mazoezi na Kiongozi huyo Mstaafu na Kujiumauma muda mwingi na Kushindwa Kuuliza Mswahili na badala yake Kiongozi huyo 'Birthday Boy' wa Jana akamuuliza Shaffih Dauda Maswali yameisha na Unataka nizungumzie nini?
Hovyo kabisa.......!!!!!!