Babie KabaeHakuna watangazaji clauds wa Mbo ya msingi zaidi ya miziki na uchambuzi wa mchongo wa michezo .
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babie KabaeHakuna watangazaji clauds wa Mbo ya msingi zaidi ya miziki na uchambuzi wa mchongo wa michezo .
Agree. Kutegemea zaidi kwenye mahojiano yaliyopangwa pamoja na sherehe za kuzaliwa za mhojiwa ni kujidanganya. Lakini pia sitaki kuamini clouds media wangeweza kufanya anachotaka mtoa mada katika mazingira mengine yeyote yale.You don't ask hard questions kwenye birthday party or celebration poor fela, kujisifu kwingi go directly kuwa CMG hawana qualified journalists mfano wa Pascal Mayalla, Ditto wa RFA, Edwin Odemba, Nyanda Alloyce, Angelo Moleka, wanakosa Learned journalists.
Tell us what specifically did you expect. Sema mfano maswali gani?
Akili gani hio birthday is soft event you can't invite provocative thinking.
Ukyitegede tugala kumanya vintu za kubuzabuza vayo genda wait for the appropriate event, get away with nasty brain for our Dad. You sound Muyaye.
If you persist tulekuponona, iwe chikala chobe, maintain silence small boy
We una dhiki mpk makalioni, huyo unaemuita "Mswahili Mswahili" mwenzio anakula maisha yeye Hadi vitukuu vyake Hadi mwisho wa duniaNimewadharau sana CMG kama ambavyo nimekuwa Nikimdharau mno huyo waliyekuwa nae Jana 'Birthday Boy' Mswahili Mswahili.
Sometimes kutokujiamini pia na hofu, na elimu nadhani inachangia kwa hawa waandishi wetu wa kibongoShaffih siku ile alipuyanga maswali makini hakuna labda sabb ni sherehe ya kuzaliwa na ilikuwa sio mahala pake ila hata mepesi ya kuchangamsha alishindwa 😀😀
Kuna mda anasema ehhe ongea b boy akajibu niongee nini sasa 😆
Shafii inaelekea hakujiandaa mdomo pia mzitoSometimes kutokujiamini pia na hofu, na elimu nadhani inachangia kwa hawa waandishi wetu wa kibongo
Asante na Shukran sana Mkuu kwa hizi 'Credits' zako ila tegemea Kuambiwa Wewe ni Mimi GENTAMYCINE na hii ID yako ni yangu na kwamba najipakulia tu Minyama ( Najisifia ) ili kupata Sifa hapa JamiiForums.Nimeshare huu Uzi kwenye vyombo vyote vya clouds wajisome wajitathimini! Kongole nyingi Kwa ndg mwandishi GENTAMYCIME akili kubwa.
Anayeweza hizo interviews ni Kipanya tuu..Binafsi watangazaji wa CMG nashndwa kuelews wanakwama wap wanakuwaga na focus nzuri lakini katika presentation zao wanafeli inakuwa kama ipo nje ya uwezo wao,walishndwa kuhoji maswali ya msingi nilishukuru walivyowaacha mammy na mchomvu wale ndo poor kabisa masiala Sana hawajui kuendana na mood za watu kiukweli CMG wajitathmini hasa Kwa presenters wao Wana uwezo wa chini mnoo..
Swadakta GENTAMYCINE [emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666] hawakawii kupakaza upupu ila writing yako inautofauti mkubwa na upekee wake, jicho lako linaangaza mbali, so whatever comes the message will be derived accordingly! Uko sawa sana mkuu[emoji109]Asante na Shukran sana Mkuu kwa hizi 'Credits' zako ila tegemea Kuambiwa Wewe ni Mimi GENTAMYCINE na hii ID yako ni yangu na kwamba najipakulia tu Minyama ( Najisifia ) ili kupata Sifa hapa JamiiForums.
Halafu rekebisha hapo Mimi muanzisha Mada siitwi GENTAMYCIME uliyemtaja hapa ambaye ameiga ID yangu ili Kusafiria Nyota yangu Kali hapa JamiiForums itokanayo na 'Natural Charm' yangu ila Mimi ni GENTAMYCINE niliyejiunga hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 na siyo huyo Mpumbavu aliyejiunga mwaka 2022.
Asante Mkuu na tupo pamoja mno tu.Swadakta GENTAMYCINE [emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666] hawakawii kupakaza upupu ila writing yako inautofauti mkubwa na upekee wake, jicho lako linaangaza mbali, so whatever comes the message will be derived accordingly! Uko sawa sana mkuu[emoji109]