Watangazaji wa CMG mliomfanyia 'Interview' Kiongozi Mstaafu katika 'Birthday' yake Jana mmeiabisha 'Tasnia' nzima

Moja ya utopolo walio fanya clouds jana ni kuishi na watumishi wasio jua mambo ya ulimwengu yalivyo...

Sio wafatiliaji kabisa ndio maana hawana malengo ya kwenda mbele

Walio ondoka pale walikuwa sawa sawa
Kama Regina mziwanda BBC, Abdul Mohamed BBC na Ikulu Zenji, Kuna Dogo Mmoja yupo Radio ya Umoja wa mataifa Marekani

Walio Baki ni makatuni wa kisasa
 
Competency ya waandishi wetu makanjanja wengi, na competency ya muulizwa swali.
 
At least kuna dada mmoja anaitwa Farhia Midle (ITV) kama sijakosea, kwa mbali anajitahd kuuliza maswali.

Ila waandishi wengine wengi maswali yao hayana logical connection na ni out of context.
 
Mimi GENTAMYCINE alipojitanabaisha kua yeye ni Mnyarwandwa ndipo nilipochafukwa, hii mijitu haimpendi kabisa kijana na msoga, yaani wanatamani watawale Nchi za maziwa wakishirikiana na mashemeji zao wa Uganda (Nchi gani hazina demokrasia marais wanatawala milele)
J. K alitaka kuingia Ikulu ya Kigali km si busara zake leo tusingeusikia huu upupu wenu
 
At least kuna dada mmoja anaitwa Farhia Midle (ITV) kama sijakosea, kwa mbali anajitahd kuuliza maswali.

Ila waandishi wengine wengi maswali yao hayana logical connection na ni out of context.
Farhia Middley yuko vizuri na namkubali.
 
Nilichokipenda pale Ni kitu kimoja tu kuwa walikutana wazee kujadili swla la jiwe kujiongezea muhula kutoka 5 had 7 na Kisha kukiuka katiba

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata mm ningechangia hapo kwa sana, unajua jiwe ni swahiba na asili ya BAHIMA Empire ndio maana tunashindwa ungana nao, wepesi kugeukana ndio wanaomsumbua Tishekedi na DRC
 
Damu Kali ya Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi na yenye Akili Kubwa ni lazima tu Utaielewa na Utanielewa tu Mkuu.

"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" GENTAMYCINE.
Mtani wangu mmakua umechangia kwa nani
 
We nawe Kusaga alitaka amfanyie jambo Kikwete, sasa kwakuwa ana miliki clouds akaamua aihusishe clouds nzima, kwahiyo hayo maswali magumu yalikuwa sio mahala pake kihivyo
 
Farhia Middley yuko vizuri na namkubali.
Ingawa sijaangalia hiyo interview, lakini nilipo-note kwenye uandishi wako kwamba JK alikuwa anacheka-cheka nikajua tu kakutana na mwandishi asiye-ijua kazi yake.

JK huwa akikutana na mwandishi mwenye maswali magumu huwa anatabia ya ku-adjust miwani kila mara na kukunja uso.

Na kama hakugusa miwani kila dakika basi hakuna la maana au tija aliloongea bila shaka.
 
Hakuna watangazaji clauds wa Mbo ya msingi zaidi ya miziki na uchambuzi wa mchongo wa michezo .
 
Babu seya ndio swali la.muhimu?? Wewe nae akili huna.

Maswali muhimu ni ya kiuchumi zaidi, nyie mnataka udaku. Swali lilipaswa kuegemea hapo, kwa nn tuko hapa. Kipi kilikukwamisha kuondoa umaskini kwa watanzania, kwa nn Singapore na sio Tanzania. Kipi kifanyike na kwa namna gani tufike huko.
 
Wqnamuliza kuhusu mambo ya bongo fleva.....
Angehojiwa na wasafi si ingekuwa vituko zaidi

Ova
Watangazaji wa Tanzania wengi ni wapumbavu. Kikwete ameshatoka madarakani hivyo Kuna vitu vingi anajutia kutofanya ili kuibadilisha Tanzania kiuchumi hata kama alikuwa na mapungufu bado alitamani kubadilisha maisha ya watanzania.

Maswali yangejikita zaidi kuhusu uchumi wa nchi ili Sasa isaidie wengine waweze kufika mbali. Wao wanakazania story za sijui wewe na membe ndugu, hata Kama ndugu yetu as long as ana uwezo wa kubadilisha maisha ya watanzania hakuna shida.
 
We nawe Kusaga alitaka amfanyie jambo Kikwete, sasa kwakuwa ana miliki clouds akaamua aihusishe clouds nzima, kwahiyo hayo maswali magumu yalikuwa sio mahala pake kihivyo
Maswali magumu kaulizwa Ila yasiyo mantiki ndio hoja ilipo.
 
Damu Kali ya Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi na yenye Akili Kubwa ni lazima tu Utaielewa na Utanielewa tu Mkuu.

"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" GENTAMYCINE.
Damu ya kimakuwa tuna match ya kitutsi tunamatch,(do you speak rwandese) Aho bhisigura ngwiki mukinyarugwanda?
 
Babu sea 😂
Hivi huyo mwamba kapotelea wapi?

Jiwe alimtoa jela kiuchokozi ili kumpa hi mtani wake, Ila jiwe atabaki kuwa jiwe tu udongoni jamaa alikuwa fukunyuku sana.
 
Si mlikataa ule mswaada wa mabadilikobya sheria ya habari na vyombo vya habari...sasa lzm tupate watu ambao ni wababaifu tu ...shule hawana bali wanaishi kwa kipaji na muonekano mzuri wa kuji chubua na vipodozi toka china na uturuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…