GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Watu wasio na Akili huwa na Majibu kama hili lako. Kwa serious Media za Kenya, Rwanda, Uganda, BBC, CNN na The Citizen kupata that audience na Rais Mstaafu kama huyo ni Fursa Kubwa Kwao ya kufanya nae Critical and Analytical Interview ya Siasa, Jamii, Uchumi na Masuala Mtambuka yahusuyo Taifa letu linapambana Kuendelea na bado linapambana na Maadui wakubwa Watatu Ujinga, Maradhi na Umasikini.We nawe Kusaga alitaka amfanyie jambo Kikwete, sasa kwakuwa ana miliki clouds akaamua aihusishe clouds nzima, kwahiyo hayo maswali magumu yalikuwa sio mahala pake kihivyo
Huwa sijibu ujinga unless n Jambo la mtu mwenye too much oestrogen..okay n la umuhm Kwa Nyanja ipi ni issue tumeiskia tangu zaman kwamba hivi na hivi alimfunga yeye binafs Kwa kumsingizia sio scandal nzuri Kwa Rais anaetetea haki za raia kufanya mamb Kam Yale sasa yeye kam mhusika na mwenye dhamana ya utetez wa raia anazungumzia vp tuhuma hizo maana wapo watu hawampend kutokan na mjadala ule ulikuwa muda wake Jana wakuliweka Sawa..Hilo lingeweza kuwa la mwisho Kati ya maswali mengi ambayo naamini watanzania wangependa kuyasikia kutoka kwake kama hukubaliani nami[emoji850][emoji850]Babu seya ndio swali la.muhimu?? Wewe nae akili huna.
Maswali muhimu ni ya kiuchumi zaidi, nyie mnataka udaku. Swali lilipaswa kuegemea hapo, kwa nn tuko hapa. Kipi kilikukwamisha kuondoa umaskini kwa watanzania, kwa nn Singapore na sio Tanzania. Kipi kifanyike na kwa namna gani tufike huko.
Escrow na katiba mpya alivyoivuruga yeye.Issue ya Dr Ulimboka,Adam Malima what happenedUmeona eeh Yan pale ndo ilibid mtu ahojiwe mambo ya mcng me nngefurah hat angeulzw vp mheshimiw unazungumzia vp uhusiano wako na babu sea mbn n kitu Kam kinakuchafua je kuna tatizo lolote Kati yako wewe na babu sea Ile ingemake headlines na mambo kadha wa kadha yenye kuleta tija
Yule aliyemhoji makamu wa raisi wa Zanzibar kuhusu bei ya mafuta kutofautiana bara na visiwani anaitwa nani? Mwandishi alitoa miwani wakati anauliza. Video ipo humu jamii forumKabisa wangemkodisha Mtozi Aloyce Nyanda au Odemba.
Odemba Yuko vizuri sanaKabisa wangemkodisha Mtozi Aloyce Nyanda au Odemba.
Huna tofauti na hao watangazaji. Skendo za hivyo Ni za wapuuzi na hupuuzwa, Ila ukiziamini kazi kwako.Huwa sijibu ujinga unless n Jambo la mtu mwenye too much oestrogen..okay n la umuhm Kwa Nyanja ipi ni issue tumeiskia tangu zaman kwamba hivi na hivi alimfunga yeye binafs Kwa kumsingizia sio scandal nzuri Kwa Rais anaetetea haki za raia kufanya mamb Kam Yale sasa yeye kam mhusika na mwenye dhamana ya utetez wa raia anazungumzia vp tuhuma hizo maana wapo watu hawampend kutokan na mjadala ule ulikuwa muda wake Jana wakuliweka Sawa..Hilo lingeweza kuwa la mwisho Kati ya maswali mengi ambayo naamini watanzania wangependa kuyasikia kutoka kwake kama hukubaliani nami[emoji850][emoji850]
Anaitwa Chief Odemba - Medani za Siasa StarTv Jumamosi Saa tatu na nusu usiku.Yule aliyemhoji makamu wa raisi wa Zanzibar kuhusu bei ya mafuta kutofautiana bara na visiwani anaitwa nani? Mwandishi alitoa miwani wakati anauliza. Video ipo humu jamii forum
Odemba Yuko vizuri sana
Kitenge ndio kilaza kuliko hao mapopomaIyo show ilifaa imkute kitenge