Watangazaji wa CMG mliomfanyia 'Interview' Kiongozi Mstaafu katika 'Birthday' yake Jana mmeiabisha 'Tasnia' nzima

Agree. Kutegemea zaidi kwenye mahojiano yaliyopangwa pamoja na sherehe za kuzaliwa za mhojiwa ni kujidanganya. Lakini pia sitaki kuamini clouds media wangeweza kufanya anachotaka mtoa mada katika mazingira mengine yeyote yale.

Nafasi yao kama media ndio hiyo waliyomo, na siku wakitoka ndio ushangae kunani.
 
Shaffih siku ile alipuyanga maswali makini hakuna labda sabb ni sherehe ya kuzaliwa na ilikuwa sio mahala pake ila hata mepesi ya kuchangamsha alishindwa 😀😀
Kuna mda anasema ehhe ongea b boy akajibu niongee nini sasa 😆
 
Nimewadharau sana CMG kama ambavyo nimekuwa Nikimdharau mno huyo waliyekuwa nae Jana 'Birthday Boy' Mswahili Mswahili.
We una dhiki mpk makalioni, huyo unaemuita "Mswahili Mswahili" mwenzio anakula maisha yeye Hadi vitukuu vyake Hadi mwisho wa dunia
 
Sasa hata ukimuuliza hayo maswali magumu ndo yatabadilisha uhalisia au mambo aliyotenda kwenye awamu yake?
 
Shaffih siku ile alipuyanga maswali makini hakuna labda sabb ni sherehe ya kuzaliwa na ilikuwa sio mahala pake ila hata mepesi ya kuchangamsha alishindwa 😀😀
Kuna mda anasema ehhe ongea b boy akajibu niongee nini sasa 😆
Sometimes kutokujiamini pia na hofu, na elimu nadhani inachangia kwa hawa waandishi wetu wa kibongo
 
Sometimes kutokujiamini pia na hofu, na elimu nadhani inachangia kwa hawa waandishi wetu wa kibongo
Shafii inaelekea hakujiandaa mdomo pia mzito
Mtu kama kipanya hata kama ingekuwa ni maswali mepesi nadhani tungefurahia kwenye matembezi yale wakina pj walijitahidi
 
Kma hao CMG wameshindwa watumeni wengine kwani tatizo nini!?

Kma walipata muhaliko vp wengine wasipate waende kumuoji hayo maswali mnayotaka nyinyi!?

Pia yawezekana hayo maswali walimuuliza lakin yalikatwa je
 
Inawezekana walipewa mashariti kabisa kabla ya kuanza mahojiano,siunajua ngozi nyeusi hatupendi kusema vitu vigumu hasa hasa kwenye inshu zinazohusiana na siasa
 
Genta

Ni bidhaa ya kichina wakikukataa kule wanakukubali kule
 
Akili Zilihamia Kwenye Tonge Nyama
 
Nimeshare huu Uzi kwenye vyombo vyote vya clouds wajisome wajitathimini! Kongole nyingi Kwa ndg mwandishi GENTAMYCIME akili kubwa.
Asante na Shukran sana Mkuu kwa hizi 'Credits' zako ila tegemea Kuambiwa Wewe ni Mimi GENTAMYCINE na hii ID yako ni yangu na kwamba najipakulia tu Minyama ( Najisifia ) ili kupata Sifa hapa JamiiForums.

Halafu rekebisha hapo Mimi muanzisha Mada siitwi GENTAMYCIME uliyemtaja hapa ambaye ameiga ID yangu ili Kusafiria Nyota yangu Kali hapa JamiiForums itokanayo na 'Natural Charm' yangu ila Mimi ni GENTAMYCINE niliyejiunga hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 na siyo huyo Mpumbavu aliyejiunga mwaka 2022.
 
Anayeweza hizo interviews ni Kipanya tuu..
 
Swadakta GENTAMYCINE [emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666] hawakawii kupakaza upupu ila writing yako inautofauti mkubwa na upekee wake, jicho lako linaangaza mbali, so whatever comes the message will be derived accordingly! Uko sawa sana mkuu[emoji109]
 
Kama bado mnasikiliza huo upuuzi poleni sana , kimsingi walitafuta kiki tu kutembelea nyota ya miaka 72 ya mzee wa msoga, sio mbaya kukumbuka wazee lakini walitakiwa wawe strong script ambayo ingeandaliwa kwa siku kadhaa na mzee aipitie na ikiwezekana aweke na yeye inputs za matukio ambayo anaona kimsingi yangesisimua taifa na kuleta ladha, hata hivyo weledi katika masuala ya msingi hasa yanayohitaji kichwa vilimalizika na JASIRI MUONGOZA NJIA , wengine wamebakia kuwa chawa tu
 
Asante Mkuu na tupo pamoja mno tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…