GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kumbe nawee ulionaa? Yaan hajuagi kuficha mahaba yake kwa yangaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmoja wapo ni huyo Nazareth upete wa TBC ambaye baada ya Yanga kufungwa akabadilika na kutoa sauti ya kinyonge huku anaonekana anataka kulialia
TIMU YA TAIFA IMEFUNGWA TAIFA LIMEPOWA ILA WAPUMBAV WACHACHE NDO WANAFURAHIHalafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda kupindua Matokeo / Meza Jijini Algiers nchini Algeria kwa Kuwafunga USM Alger FC na kuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023.
Hovyo kabisa Wanafiki wakubwa nyie.