Watangazaji, Wachambuzi na Waandishi wa Hab mnarudia Kosa lile lile ambao litaigharimu Simba SC ikikutana na Orlando Pirates FC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini.

Wengine ili kupata Sifa zaidi kwa Uongozi wa Simba SC ( hasa kwa CEO Barbara Gonzalez ) ambaye hapendi Ukweli na anataka tu Kusikia Sifa baadhi yenu mmeanza kuzungumza na Marafiki zenu na Waandishi wa Habari za Michezo walioko huko Afrika Kusini na kuwaambia kuwa mkiwa mnafanya nao hizo Interviews zenu wawe Wanaisifia tu Simba SC na wawe Wanaikandia tena kwa Kuidhoofisha kabisa Kiuwezo Klabu ya Orlando Pirates.

Kuna Mwenzenu Mmoja na wala GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kumuita Mpumbavu ( Fool ) baada ya kumsikia akisema kuwa Simba SC ni Bora zaidi kuliko Orlando Pirates FC kwakuwa katika Ligi Kuu ya Tanzania NBC ni ya Pili na Orlando Pirates FC katika Ligi Kuu ya Kwao PSL sasa ni ya Tano.

Hivi kwa Akili ya Kawaida tu na ukiwa ni mfuatiliaji wa Masuala na hata Michezo kuna Ligi Kuu yenye Hadhi Kubwa, Utajiri mkubwa na miongoni mwa Ligi Kuu ngumu Tatu kwa bara la Afrika kama ya Afrika Kusini?

Yaani Waandishi wa Habari za Michezo, Wachambuzi na Watangazaji wa Michezo mmeshindwa tu hata Kuwauliza akina Abdi Banda, Mrisho Ngassa, Uhuru Suleiman, Bakari Malina na Kocha Msaidizi wa Simba SC Selemani Matola wawapen Ukweli wa Ubora wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo Tanzania bado tuna safari ndefu ya kufikia 50% yake achilia mbali 75% hadi 100% waliyonayo?

Mchezaji wa Kwanza kuchukua ( Kulipwa ) Mshahara mkubwa Simba SC ni Bernard Morrison ambaye analipwa Dola 11,000 ambazo zinakaribia Shilingi Million 22 hapo wakati kwa Orlando Pirates FC Mchezaji mweye Mshahara mdogo analipwa Shilingi za Kitanzania Millioni 43 je, hapa bado nyie Wapuuzi na Wanafiki mtatudanganya kuwa Ligi Kuu ya Afrika Kusini ni ya Kawaida sana na kwamba Simba SC isitishike na Vilabu vya huko?

Halafu GENTAMYCINE nikiwaambieni Ukweli hapa JamiiForums mnanichukia na Kunishambulia badala ya Kwanza Kunielewa na Kutafakari Hoja zangu ambazo huwa siyo za Kishabiki na Kinafiki kama ambazo Wengi wenu mnazo.

Waambieni Simba SC Ukweli kuwa Mtihani walionao mbeleni kwa Kucheza na Orlando Pirates FC ni mkubwa na mzito hivyo wanatakiwa Kujiandaa maradufu ya walivyojiandaa katika Mechi zao za nyuma na Wagangamale kweli kweli na hapa ndipo mtakuwa mnawasaidia na nitawaona mna Akili kuliko mnavyofanya sasa ambapo nawaona ni Wanafiki, Waongo na Majuha watupu tu.

Nimemaliza karibuni katika Kunitusi!!!!!
 
AKILI KUBWA
 
Sisi tulishawazoea wapuuzi Kama hao, wanachopenda kukisikia masikioni mwao ni sifa ambazo awana na wala kiuhalisia azipo, Kwa mtu mwenye akili timamu awezi kuibeza ligi ya afrika kusini na uwezi kuilinganisha ligi ya afrika kusini na ligi yetu hapa tanzania, ligi ya afrika kusini ni ngumu na inaendeshwa kiuweledi mkubwa tofauti na ligi yetu, ligi ya afrika kusini ina kitita kikubwa Sana kwa timu inayofanya vizuri kwenye ligi yao kitu kinachochangia ugumu wa ligi yao, timu inayoshika nafasi ya 9 au ya 10 kwenye ligi ya afrika kusini pengine kwa tanzania ndo ingekuwa inashika nafasi ya pili, kwaiyo kabla mtu ajaibeza orlando pirates eti inashika nafasi ya tano kule ivyo simba ni bora zaidi ni kujidanganya na kujipa furaha ya muda tu kwenye vijiwe vya kahawa,,simba isipojipanga na kuendelea kutegemea makafara yao ya kwa mkapa atoki mtu lakini wanapoenda ugenini wanakuwa Kama pombe ya ngomani kila mtu anajichotea basi wajue safari yao ndo inaishia hapo
 
Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini.

Wengine ili kupata Sifa zaidi kwa Uongozi wa Simba SC ( hasa kwa CEO Barbara Gonzalez ) ambaye hapendi Ukweli na anataka tu Kusikia Sifa baadhi yenu mmeanza kuzungumza na Marafiki zenu na Waandishi wa Habari za Michezo walioko huko Afrika Kusini na kuwaambia kuwa mkiwa mnafanya nao hizo Interviews zenu wawe Wanaisifia tu Simba SC na wawe Wanaikandia tena kwa Kuidhoofisha kabisa Kiuwezo Klabu ya Orlando Pirates.

Kuna Mwenzenu Mmoja na wala GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kumuita Mpumbavu ( Fool ) baada ya kumsikia akisema kuwa Simba SC ni Bora zaidi kuliko Orlando Pirates FC kwakuwa katika Ligi Kuu ya Tanzania NBC ni ya Pili na Orlando Pirates FC katika Ligi Kuu ya Kwao PSL sasa ni ya Tano.

Hivi kwa Akili ya Kawaida tu na ukiwa ni mfuatiliaji wa Masuala na hata Michezo kuna Ligi Kuu yenye Hadhi Kubwa, Utajiri mkubwa na miongoni mwa Ligi Kuu ngumu Tatu kwa bara la Afrika kama ya Afrika Kusini?

Yaani Waandishi wa Habari za Michezo, Wachambuzi na Watangazaji wa Michezo mmeshindwa tu hata Kuwauliza akina Abdi Banda, Mrisho Ngassa, Uhuru Suleiman, Bakari Malina na Kocha Msaidizi wa Simba SC Selemani Matola wawapen Ukweli wa Ubora wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo Tanzania bado tuna safari ndefu ya kufikia 50% yake achilia mbali 75% hadi 100% waliyonayo?

Mchezaji wa Kwanza kuchukua ( Kulipwa ) Mshahara mkubwa Simba SC ni Bernard Morrison ambaye analipwa Dola 11,000 ambazo zinakaribia Shilingi Million 22 hapo wakati kwa Orlando Pirates FC Mchezaji mweye Mshahara mdogo analipwa Shilingi za Kitanzania Millioni 43 je, hapa bado nyie Wapuuzi na Wanafiki mtatudanganya kuwa Ligi Kuu ya Afrika Kusini ni ya Kawaida sana na kwamba Simba SC isitishike na Vilabu vya huko?

Halafu GENTAMYCINE nikiwaambieni Ukweli hapa JamiiForums mnanichukia na Kunishambulia badala ya Kwanza Kunielewa na Kutafakari Hoja zangu ambazo huwa siyo za Kishabiki na Kinafiki kama ambazo Wengi wenu mnazo.

Waambieni Simba SC Ukweli kuwa Mtihani walionao mbeleni kwa Kucheza na Orlando Pirates FC ni mkubwa na mzito hivyo wanatakiwa Kujiandaa maradufu ya walivyojiandaa katika Mechi zao za nyuma na Wagangamale kweli kweli na hapa ndipo mtakuwa mnawasaidia na nitawaona mna Akili kuliko mnavyofanya sasa ambapo nawaona ni Wanafiki, Waongo na Majuha watupu tu.

Nimemaliza karibuni katika Kunitusi!!!!!
Nimemsikia Edo Kumwembe, mnafiki mkubwa anajidai kuwasiliana na makanjanja wenzake huko south Africa.

Tumshauri Barbara asisikilize kelele zao.
 
Hizo Contents zangu za Threads zile zile zingekuwa hazina Tija hapa nina uhakika Moderators Makini wa Jamiiforums wangeziondoa ila kwakuwa hawana Upumbavu ulionao na Uliobarikiwa nao wameziacha na bado zinapeta tu.

Mnanichukia GENTAMYCINE halafu Kutwa tu nyie nyie mkiingia ( Log In ) hapa Jamiiforums ni lazima msome Threads zangu na Kuzichangia kama hivi na nikiwadharau kuwa hamna Akili mnakasirika.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE kkudadade
Hahaha!! siwezi kukasirika wala kuchukia maneno yako wakati najua kuwa yametoka kwa Popoma .
 
unapokuwaga aupo au nikisikia sijui upigwa ban jamii forum inapooza sana
Asante Mkuu kwa Pongezi zako hizi Kwangu ila kwa Wewe Kunisifia Kwako hivi tegemea kuambiwa kuwa Wewe ni Mimi GENTAMYCINE na kwamba hi ID yako ni yangu na hapa nimeandika ili tu Kujimwambafai ( Kujisifia )

Ukitaka ukubalike JF nidhalilishe sana!!!
 
Nimemsikia Edo Kumwembe, mnafiki mkubwa anajidai kuwasiliana na makanjanja wenzake huko south Africa.

Tumshauri Barbara asisikilize kelele zao.
Nimeshaonya wasiponisikia shauri yao.
 
Kama hazikuhusu tuachie sisi Wana Simba
Mkuu ungeachana tu hilo Uncircumcised Baboon adriz kwani kwa Kumjibu hivi umepoteza tu muda wako kwani huo Upumbavu alionao ni wa Kurithi kutoka kwa waliopoteza muda Wao kumtafuta 'Kibaiolojia' Usiku Kucha.
 
Shusha episode nyingine za matusi hakuna jipya nipo nyuma yako nikikazia hoja zako kubwa.
 
Mnanichukia GENTAMYCINE halafu Kutwa tu nyie nyie mkiingia ( Log In ) hapa Jamiiforums ni lazima msome Threads zangu na Kuzichangia kama hivi na nikiwadharau kuwa hamna Akili mnakasirika.
Hata shetani huwa anatajwa mara kwa mara makanisani na misikitini, na hiyo haimaanishi kwamba anapendwa na wachungaji. Lazima tuyapitie matendo ya kishetani kila mara ili tuweze kuyakemea kwa uhalisi wake
 
ukiona nyuzi zako zinapata wachangia wengi juwa ujumbe umewafikia walengwa ukipondwa jua ujumbe umewafikia pia ukisikifiwa juwa ujumbe umewafikia pia sababu kila mtu na akili yke ya kupembua mambo na kujua unaweza kuchukiwa na ndugu yako na unamsaidia kila kitu sembuse mtu asiekujua
Asante Mkuu kwa Pongezi zako hizi Kwangu ila kwa Wewe Kunisifia Kwako hivi tegemea kuambiwa kuwa Wewe ni Mimi GENTAMYCINE na kwamba hi ID yako ni yangu na hapa nimeandika ili tu Kujimwambafai ( Kujisifia )

Ukitaka ukubalike JF nidhalilishe sana!!!
 
Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini.

Wengine ili kupata Sifa zaidi kwa Uongozi wa Simba SC ( hasa kwa CEO Barbara Gonzalez ) ambaye hapendi Ukweli na anataka tu Kusikia Sifa baadhi yenu mmeanza kuzungumza na Marafiki zenu na Waandishi wa Habari za Michezo walioko huko Afrika Kusini na kuwaambia kuwa mkiwa mnafanya nao hizo Interviews zenu wawe Wanaisifia tu Simba SC na wawe Wanaikandia tena kwa Kuidhoofisha kabisa Kiuwezo Klabu ya Orlando Pirates.

Kuna Mwenzenu Mmoja na wala GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kumuita Mpumbavu ( Fool ) baada ya kumsikia akisema kuwa Simba SC ni Bora zaidi kuliko Orlando Pirates FC kwakuwa katika Ligi Kuu ya Tanzania NBC ni ya Pili na Orlando Pirates FC katika Ligi Kuu ya Kwao PSL sasa ni ya Tano.

Hivi kwa Akili ya Kawaida tu na ukiwa ni mfuatiliaji wa Masuala na hata Michezo kuna Ligi Kuu yenye Hadhi Kubwa, Utajiri mkubwa na miongoni mwa Ligi Kuu ngumu Tatu kwa bara la Afrika kama ya Afrika Kusini?

Yaani Waandishi wa Habari za Michezo, Wachambuzi na Watangazaji wa Michezo mmeshindwa tu hata Kuwauliza akina Abdi Banda, Mrisho Ngassa, Uhuru Suleiman, Bakari Malina na Kocha Msaidizi wa Simba SC Selemani Matola wawapen Ukweli wa Ubora wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo Tanzania bado tuna safari ndefu ya kufikia 50% yake achilia mbali 75% hadi 100% waliyonayo?

Mchezaji wa Kwanza kuchukua ( Kulipwa ) Mshahara mkubwa Simba SC ni Bernard Morrison ambaye analipwa Dola 11,000 ambazo zinakaribia Shilingi Million 22 hapo wakati kwa Orlando Pirates FC Mchezaji mweye Mshahara mdogo analipwa Shilingi za Kitanzania Millioni 43 je, hapa bado nyie Wapuuzi na Wanafiki mtatudanganya kuwa Ligi Kuu ya Afrika Kusini ni ya Kawaida sana na kwamba Simba SC isitishike na Vilabu vya huko?

Halafu GENTAMYCINE nikiwaambieni Ukweli hapa JamiiForums mnanichukia na Kunishambulia badala ya Kwanza Kunielewa na Kutafakari Hoja zangu ambazo huwa siyo za Kishabiki na Kinafiki kama ambazo Wengi wenu mnazo.

Waambieni Simba SC Ukweli kuwa Mtihani walionao mbeleni kwa Kucheza na Orlando Pirates FC ni mkubwa na mzito hivyo wanatakiwa Kujiandaa maradufu ya walivyojiandaa katika Mechi zao za nyuma na Wagangamale kweli kweli na hapa ndipo mtakuwa mnawasaidia na nitawaona mna Akili kuliko mnavyofanya sasa ambapo nawaona ni Wanafiki, Waongo na Majuha watupu tu.

Nimemaliza karibuni katika Kunitusi!!!!!
Unaaahangaika na simba sana we jamaaaa kulilo unavohanhaika na maisha yako
 
Back
Top Bottom