Watangazaji, Wachambuzi na Waandishi wa Hab mnarudia Kosa lile lile ambao litaigharimu Simba SC ikikutana na Orlando Pirates FC

Watangazaji, Wachambuzi na Waandishi wa Hab mnarudia Kosa lile lile ambao litaigharimu Simba SC ikikutana na Orlando Pirates FC

Siwezi kumchukia na kumfuatilia mtu ambaye simjui na wala haninifaishi kwa lolote ,hapa Jf kuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kusoma popote pale
'Natural Charm' yangu inawatesa, inakutesa na itawateseni mno hapa JamiiForums hadi muumie, mpasuke na ikiwezekana Mfe tu kabisa sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE kudadadeki.
 
Dr. Slaa mwenyewe anatambua nondo za huyu mwamba hadi alimtaja star tv kwenye mahojiano
Ukiona hadi Wakubwa kama huyo na Watu wengine mbalimbali wanakutaja na Kukukubali jua hata Mwenyezi Mungu nae ameshakukubali ns anaendelea tu Kukubariki huku idadi ya Wapumbavu wanaokuchukia nayo ikizidi tu Kuongezeka.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE kudadadeki.

Cc: Eze Ego
 
banned 😂😂
ukanywe dawa vizuri
 
Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini.

Wengine ili kupata Sifa zaidi kwa Uongozi wa Simba SC ( hasa kwa CEO Barbara Gonzalez ) ambaye hapendi Ukweli na anataka tu Kusikia Sifa baadhi yenu mmeanza kuzungumza na Marafiki zenu na Waandishi wa Habari za Michezo walioko huko Afrika Kusini na kuwaambia kuwa mkiwa mnafanya nao hizo Interviews zenu wawe Wanaisifia tu Simba SC na wawe Wanaikandia tena kwa Kuidhoofisha kabisa Kiuwezo Klabu ya Orlando Pirates.

Kuna Mwenzenu Mmoja na wala GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kumuita Mpumbavu ( Fool ) baada ya kumsikia akisema kuwa Simba SC ni Bora zaidi kuliko Orlando Pirates FC kwakuwa katika Ligi Kuu ya Tanzania NBC ni ya Pili na Orlando Pirates FC katika Ligi Kuu ya Kwao PSL sasa ni ya Tano.

Hivi kwa Akili ya Kawaida tu na ukiwa ni mfuatiliaji wa Masuala na hata Michezo kuna Ligi Kuu yenye Hadhi Kubwa, Utajiri mkubwa na miongoni mwa Ligi Kuu ngumu Tatu kwa bara la Afrika kama ya Afrika Kusini?

Yaani Waandishi wa Habari za Michezo, Wachambuzi na Watangazaji wa Michezo mmeshindwa tu hata Kuwauliza akina Abdi Banda, Mrisho Ngassa, Uhuru Suleiman, Bakari Malina na Kocha Msaidizi wa Simba SC Selemani Matola wawapen Ukweli wa Ubora wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo Tanzania bado tuna safari ndefu ya kufikia 50% yake achilia mbali 75% hadi 100% waliyonayo?

Mchezaji wa Kwanza kuchukua ( Kulipwa ) Mshahara mkubwa Simba SC ni Bernard Morrison ambaye analipwa Dola 11,000 ambazo zinakaribia Shilingi Million 22 hapo wakati kwa Orlando Pirates FC Mchezaji mweye Mshahara mdogo analipwa Shilingi za Kitanzania Millioni 43 je, hapa bado nyie Wapuuzi na Wanafiki mtatudanganya kuwa Ligi Kuu ya Afrika Kusini ni ya Kawaida sana na kwamba Simba SC isitishike na Vilabu vya huko?

Halafu GENTAMYCINE nikiwaambieni Ukweli hapa JamiiForums mnanichukia na Kunishambulia badala ya Kwanza Kunielewa na Kutafakari Hoja zangu ambazo huwa siyo za Kishabiki na Kinafiki kama ambazo Wengi wenu mnazo.

Waambieni Simba SC Ukweli kuwa Mtihani walionao mbeleni kwa Kucheza na Orlando Pirates FC ni mkubwa na mzito hivyo wanatakiwa Kujiandaa maradufu ya walivyojiandaa katika Mechi zao za nyuma na Wagangamale kweli kweli na hapa ndipo mtakuwa mnawasaidia na nitawaona mna Akili kuliko mnavyofanya sasa ambapo nawaona ni Wanafiki, Waongo na Majuha watupu tu.

Nimemaliza karibuni katika Kunitusi!!!!!
Liangalie hili linafiki,kule kwenye ID Yake nyingine linajifanya kuisifia Simba, we mpumbavu hujui mpira kabisa kabisa
 
Back
Top Bottom