Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

Mwandishi mmoja wa habari wa Kenya ni sawa na waandishi wa habari wa tano wa Tanzania tena walevi.

Mwandishi wa habari maarufu wa CNN kutoka Kenya Larry Madowo alipata hadi nafasi ya kumhoji bilionea wa Afrika Aliko Dangote.

Waandishi wa habari wa Tanzania kutwa kucha kusifia ccm na kuendekeza uchawa.!!

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
FB_IMG_1719777545516.jpg

Hawa Jamaa ni mewavulia kofia,huyo Kaikai ni shida
 
Mwandishi mmoja wa habari wa Kenya ni sawa na waandishi wa habari wa tano wa Tanzania tena walevi.

Mwandishi wa habari maarufu wa CNN kutoka Kenya Larry Madowo alipata hadi nafasi ya kumhoji bilionea wa Afrika Aliko Dangote.

Waandishi wa habari wa Tanzania kutwa kucha kusifia ccm na kuendekeza uchawa.!!

Uafrika hasa utanzania ni laana.
Watano? mkuu ni hakuna yaani ni hakuna nikuhakikishie hakuna, Watano wapi hao?
 
Kiukweli, mtawaonea tu, kitu ambacho watanzania wengi tunaweza kubaki nacho mwanzo mwisho ni kabila tu ambalo mtu hawezi kubadili.
Inshu nyingi za nchi yetu zinaenda kwa upepo, so hata wanahabari wetu wapo wazuri na wana uwezo wa kuhoji vzr, ila wanajiuliza, what will be next after the press....
 
Watangazaji, wasanii wote ni wazee wa kusifu na kuabudu.
Watangazaji ni comedian, hana Taaluma waka nini, na wako pale kufanya uchwa ili mkono uende kunywani.

Sioni tena Watangazaji wa idhaa za BBC, VOA na Wd wakitoka Tanzajia, sioni, hizo taasisi zitachukua wakenya mwanzo mwisho kama ilivyo sasa.
 
Kiukweli, mtawaonea tu, kitu ambacho watanzania wengi tunaweza kubaki nacho mwanzo mwisho ni kabila tu ambalo mtu hawezi kubadili.
Inshu nyingi za nchi yetu zinaenda kwa upepo, so hata wanahabari wetu wapo wazuri na wana uwezo wa kuhoji vzr, ila wanajiuliza, what will be next after the press....
Ukiachaba na upepo ila ukweli hatuna watangazaji wala Waandishi wa Habari, unazani kwa nini kwa sasa BBC swahili, dwd VOA wamejaa Wakenya? Wanaona Watangazaji wa Tanzania ni Comedian
 
Wapo japo ni wachache ila hawawezi kupewa nafasi kama.hio ya kuhoji masuala ya msingi kama wizi na ufisadi kwenye sukari na mengineyo ya kipuuzi ya namna hio. Na zaidi marais wa hapa na wa nchi nyingine za kiafrika hawawez kukubali kuhojiwa nao na kuwekwa Live kwenye luninga za taifa..
Wengi wao wengine ni machawa, incompetent, zerobrainers, unprpfessional n.k
 
Mwandishi mmoja wa habari wa Kenya ni sawa na waandishi wa habari wa tano wa Tanzania tena walevi.

Mwandishi wa habari maarufu wa CNN kutoka Kenya Larry Madowo alipata hadi nafasi ya kumhoji bilionea wa Afrika Aliko Dangote.

Waandishi wa habari wa Tanzania kutwa kucha kusifia ccm na kuendekeza uchawa.!!

Uafrika hasa utanzania ni laana.
Wa Tanzania wakimuhoji Dangote labda wamuulize kanunua wapi Saa alio vaa au ile suti yake nani anamshoneaga. Hakuna kitu cha kumuuliza Dangote, hakuna
 
Eric Ratiff ndio bad man hana huruma kabisa,maswali yake ni straight forward sio mpaka mafuta kabisa.
Kudos gang
Joe algeyo (nation media)
Linus kaikai ( Royal media )
Eric Ratiff (standard media)
Mmefanya kazi Safi japo Ruto naye kajitahidi kufanya damage control ila haijamlipa
 
Watangazaji ni comedian, hana Taaluma waka nini, na wako pale kufanya uchwa ili mkono uende kunywani.

Sioni tena Watangazaji wa idhaa za BBC, VOA na Wd wakitoka Tanzajia, sioni, hizo taasisi zitachukua wakenya mwanzo mwisho kama ilivyo sasa.
Mi naona waTangazaji wapo, tatizo ni serikali na sisi wenyewe waTanzania, hatujawa tayari kusimama kupinga uonevu.
 
Wapo japo ni wachache ila hawawezi kupewa nafasi kama.hio ya kuhoji masuala ya msingi kama wizi na ufisadi kwenye sukari na mengineyo ya kipuuzi ya namna hio. Na zaidi marais wa hapa na wa nchi nyingine za kiafrika hawawez kukubali kuhojiwa nao na kuwekwa Live kwenye luninga za taifa..
Wengi wao wengine ni machawa, incompetent, zerobrainers, unprpfessional n.k
Walikuwepo enzi zile kwa saaa hakuna mimi siwaoni, hawa wanavizia teuzi tu za ukuu wa wilaya
 
Eric Ratiff ndio bad man hana huruma kabisa,maswali yake ni straight forward sio mpaka mafuta kabisa.
Kudos gang
Joe algeyo (nation media)
Linus kaikai ( Royal media )
Eric Ratiff (standard media)
Mmefanya kazi Safi japo Ruto naye kajitahidi kufanya damage control ila haijamlipa
Mkuu show ilikua kali eeeh
 
Back
Top Bottom