Mkuu hii hatari, sasa kule alikolazwa Tundu Lissu .... Brussels. Utasikia bluseliz!Unatamka vocha Shtenzni hiyo ni kwa watu wa kwao Poland.
V inakuja mwanzo badala ya herufi "W"
Wazungu wa Uingereza wao wanatamka Wojech Shyzeny
Ila sisi chama la gunners tuliamua kumuita "Cheza".
ππ
Kwenye "w"weka V=Vainadam,hata Wenger inapaswa kuwa Venga,badala ya wenga,mara nyingi majina yenye asili ya Kijerumani IKiandikwa W =V,kwanini Venga,badala ya Wenga,ni kwasababu anatokea ufaransa,kwenye jimbo linalo zungumza kijerumani.wainadam
Mkuu hii hatari, sasa kule alikolazwa Tundu Lissu .... Brussels. Utasikia bluseliz!
Achana na hio, mtu ni mtangazaji wa tv,huyo ni pro inabidi ajue au atafute usahihi sio Lester(Leicester) unatamka lesesta.Binafsi naamini kwa vile lugha sio yake, na maneno mengi ni lugha tofauti na yetu kiasili, lazima kuwe na makosa ya kimatamshi.
Mfano mtangazaji anasema Jirudi (Giroud), hili ni jina la kifaransa, wafaransa huwa majina yanayoishia na consonants hawatamki (Giroud-Girou).
Utafikiri majina ya kigirikiIla hilo jina gumu sana
"To-Te-ni-ham" badala ya "Tot-nam" πππ tatizo lao kubwa ni kujifanya wanajua wakati hamna kitu. Angalia hata wakialika mtu Studio wao ndio hugeuka wajuaji wa kila kitu kuliko hata yule mtaalamu waliyemualika!Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.
Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE Kiswahili hove. Hii timu inaitwa Brighton & Hove(inatamkwa hov(u). Hii timu ipo mji unaitwa Brighton and Hove City mji uliopatikana Kwa kuunganisha mji wa Brighton na Hove.
Hio Reading FC aka The Royals inasumbua wengi Sana. Hii mtu yeyote lazima utatamka Reading ya kusoma, ila ukiwasikia wenyewe utajua kumbe ni Redding.
Mbona yuko sahihi,!yeye kalitamka kwa lafudhi ya kiswahili na wewe unataka atamke kwa lafudhi ya kiingereza(wala si ya kizungu)ndio maana ukimsikia mzungu yeyeto akizungumza kiswahili anakiongea kwa lafudhi ya kwao.john (yohana)moses (mussa)marko(maiko),,,Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.
Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE Kiswahili hove. Hii timu inaitwa Brighton & Hove(inatamkwa hov(u). Hii timu ipo mji unaitwa Brighton and Hove City mji uliopatikana Kwa kuunganisha mji wa Brighton na Hove.
Inategemea anazungumza lugha gani,kama ni kiswahili lafudhi lazima iwe ya kiswahili,ndio maana huwezi sikia mtangazaji wa kiswahili akasema south africa,utasikia afrika kusini,england utasikia uingereza,ureno,nkHii kitu nimewahi kuiona zaidi ya Mara mbili, Mfano mtangazaji badala ya kutamka "soul" kwa maana Seoul (Mji mkuu wa Korea kusini) mtangazaji anasema "seuli"
Kwa hiyo mkuu uko sahihi mi nadhan wanapaswa kujifunza namna sahihi ya kutamka baadhi ya maneno.