100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Wewe ndio unaonesha uchafu wako kwa kumuita mtu jina tokana na tabia yake, we una uhakika baba yako alikuwa na mama yako maisha yake yote, na mama yako alikua na baba yako pekee maisha yake yote? dada yako, mkeo, kaka yako... basi ukijua sisi si wakamilifu acha huo ujinga....watoto wa VIKOPO utawajua tu lazima waonyeshe uchafu wao popote pale walipo.
Katika familia yangu,mimi nafanana sana na mzee wangu... sasa wewe kwa tabia zako ulilelewa na single mother...Ungepata bahati ya kumjua babaako usingekuwa juha kiasi hiki.
Katika familia yangu,mimi nafanana sana na mzee wangu... sasa wewe kwa tabia zako ulilelewa na single mother...
Wewe ndio unaonesha uchafu wako kwa kumuita mtu jina tokana na tabia yake, we una uhakika baba yako alikuwa na mama yako maisha yake yote, na mama yako alikua na baba yako pekee maisha yake yote? dada yako, mkeo, kaka yako... basi ukijua sisi si wakamilifu acha huo ujinga....
Hizo taarabu ukimshirikisha Zuchu utatisha sana, nimekuuliza wewe unaweza kumuita mama yako malaya kama si mwaminifu kwa mzee wako, umebaki kuandika verse za taarab, wewe ongea na vichwa maji wenzako sio mimi.... huwezi jibu swali umebaki kuandika upuuziNi Wapumbavu kama wewe ndiyo mlimuona yule dhalimu magufuli kama mungu vile wakati alikuwa mwizi, mzinzi, fisadi, muongo pia muuaji. Na miaka mitano akaiharibu nchi, kuvuruga uchumi, kuleta hofu kubwa na Mwenyezi Mungu akasikiliza maombi ya Watanzania na kumnyakua ili asiiharibu nchi zaidi.
Umeanza matusi... kwa heri....Acha kujibaraguza eti unanifahamu wewe!!! Mpumbavu kama wewe unayemuona yule dikteta ná dhalimu magufuli kaifanyia mengi sana Tanzania ni mtoto wa kikopo hata elimu yako ilikuwa ya kuunga. Wapuuzi mmekuwa wengi sana nchi hii.
Hizo taarabu ukimshirikisha Zuchu utatisha sana, nimekuuliza wewe unaweza kumuita mama yako malaya kama si mwaminifu kwa mzee wako, umebaki kuandika verse za taarab, wewe ongea na vichwa maji wenzako sio mimi.... huwezi jibu swali umebaki kuandika upuuzi
Umeanza matusi... kwa heri....
Hajasema serikali inafanya biashara amesema umiliki wa ndege, acha ujuaji na kutukana watu, tatizo mkipewa fact mnaanza matusi na huyo mwenzako BAK ,
In a economic perspective serikali haifanyi biashara , economics inajaribu kutuaminisha kwamba serikali inatoa huduma tu na si biashara, lakini kiuhalisia serikali inamiliki biashara kwa nini nasema hivyo? kwa sababu serikali inauza bonds na kupata interest, serikali pia inamiliki banks na kupata faida, pia serikali inamiliki ndege na kuingiza kipatao n.k, sasa utasema hio si biashara?
Wazee wa ku play by the book, mmekuwa kwenye nchi ya Tanzania na hakuna mlichokifanya, usomi mavi, kila kitu mnapinga, we unajua Japan impact kiuchumi iliyotokea Japan baada ya kujenga reli za sumaku?
Ndio maana Magufuli alikuwa anawaning'iniza tu na kuwatumbua, kipara kikubwa akili hakuna, kisa huto tu degree uchwara sasa mnajikuta mmemaliza....
Wewe nikienda hoja kwa hoja huniwezi, mwenzako amekaa pembeni kaanza matusi, kashindwa maswali....
Ukikuta mtu ana mdomo mchafu wa kutukana ovyo, jua ametoka kwenye mazingira ya namna hio, either wazazi waliomlea, unakuta alikuwa victim kipindi chake cha utoto sasa hio tabia ikamjenga na yeye kuwa abuser mpaka ukubwani , wakati mwingine ni afya ya akili na disorders.... sasa watu wa namna hio huwa hawanisumbui, nikishafahamu huwa naachana nao.....
Basi wewe si mTanzania, mama yako na baba ako wote ni wapumbavu, na hilo jehu lenzako BAK lina miaka 50 sasa linalike kutukaniwa wazazi na ndugu zake kwamba ni wapumbavu, asee watoto wenu wana hasara........
Niondolee upuuzi wako hapa huyo dhalimu magufuli kaifanyia Tanzania zaidi ya wizi, ubadhirifu, udikteta na kuharibu uchumi? Watanzania Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa nchi hamjui lolote zaidi ya kuongea ujinga ujinga tu.
Umenena vyema mkuu eliakeem ,Kitu ambacho mimi kinanifanya nitilie shaka juu ya uwezo wako wa kufikiri ni ile hali ya kumponda kila rais aliyeko madarakani. Niko hapa kwa zaidi ya miaka kumi, lkn nikiangalia uwezo wako na mtazamo wako, siku zote uko hasi kwa watawala. Kuanzia Kikwete mpaka sasa Samia. Binafsi najiuliza wewe ni mtu wa aina gani unataka wengine wawe na ubora ambao hata wewe binafsi hauufikii? Unakuwa sawa na kijana ambaye hajaoa, anatafuta mchumba. Lkn akikutajia sifa unakuja na hitimisho la kwamba labda uoe malaika. Hakuna binadamu mwenye ubora huo. Hizo sifa ni za malaika tu, hata wewe kijana muoaji huna hizo sifa.
Sasa hiyo ndiyo sifa yako. Umekuwa mwepesi sana kuona udhaifu wa wengine, huku wewe binafsi unayo mapungufu lukuki. Ikiwa ni pamoja ba kujificha kwa majina ya uongo hapa JF.
Labda kwa kumalizia nisema, JPM hata Samia ni wanadamu watakuwa na mapungufu mengi, lakini pia watakuwa na uzuri na uhodari wa kutosha tu. Hivyo kusema fulani ni mbaya moja kwa moja au ni mzuri asiye na waa lolote hilo pia ni tatizo.
and 100 others
hizo enzi za fast jet Geza Ulole ndio alikuwa msemaji mkuu wa hiyo kampuni, nakumbuka alikuwa kaanzisha uzi wa mapambio huku lakina nadhani kaufuta...Honestly sielewi strategy ya hii mindege, kwenge ukweli hata nyie mtuparue tu.
Nakumbuka 2015 huko kwenda nyuma trips zangu nyingi nilikuwa nasafiri kwa average ya 80,000 tshs (4,000 kshs) na kiukweli niligeuza ndege kuwa kama basi tu, ndege za fastjet zilikuwa zinajaa vibaya mno, bei ilikuwa affordable hata kwa wenye vipato vya kawaida.
Kwa siku hizi hii atcl wateja wamepungua mno, bei zimepandishwa juu mno, ukienda kucheki hata vlogs za watalii huko youtube unaona kabisa kwenye ndege hawazidi hata watu 10, ni hasara tupu.
Siku hizi waweza book ticket ya asubuhi mkaja kupanda ndege mchana kwa sababu ya matengenezo, hatukuwa na upuuzi huu enzi za fastjet.
Kiufupi viongozi wetu walivuka mstari wa pride na wakaingia kwenye ego, wakijidanganya serikali inaweza kila kitu, matokeo yake ndio haya sasa, wameleta ile 787 iwe inaenda huko china na india, hawaamini wanachokiona watu wanabook qatar airways, emirates, n.k
kwenye hili swala la ndege nikubali tu ya kwamba nchi yangu tumefeli mno, hatuwezi kuwa na uwezo wa kufanya kila kitu, fastjet walikuwa wanakwenda vizuri tu na watu wengi tulizijua ndege kupitia hao fastjet, walikuwa na ndege nzuri kuzidi haya mapanga, ndege zao zilikuwa zina speed zinatumia muda mfupi, safari ikiwa ni mda flani basi ni muda huo huo hakuna mambo ya matengenezo, bei zilikuwa affordable, n. k
BRING BACK FASTJET
Upo kweli, maullana CEO geza ulale katuma email na youtube clip katha kwa speaker wa bunge mh.Ndungai.hizo enzi za fast jet Geza Ulole ndio alikuwa msemaji mkuu wa hiyo kampuni, nakumbuka alikuwa kaanzisha uzi wa mapambio huku lakina nadhani kaufuta...
Kitu ambacho mimi kinanifanya nitilie shaka juu ya uwezo wako wa kufikiri ni ile hali ya kumponda kila rais aliyeko madarakani. Niko hapa kwa zaidi ya miaka kumi, lkn nikiangalia uwezo wako na mtazamo wako, siku zote uko hasi kwa watawala. Kuanzia Kikwete mpaka sasa Samia. Binafsi najiuliza wewe ni mtu wa aina gani unataka wengine wawe na ubora ambao hata wewe binafsi hauufikii? Unakuwa sawa na kijana ambaye hajaoa, anatafuta mchumba. Lkn akikutajia sifa unakuja na hitimisho la kwamba labda uoe malaika. Hakuna binadamu mwenye ubora huo. Hizo sifa ni za malaika tu, hata wewe kijana muoaji huna hizo sifa.
Sasa hiyo ndiyo sifa yako. Umekuwa mwepesi sana kuona udhaifu wa wengine, huku wewe binafsi unayo mapungufu lukuki. Ikiwa ni pamoja ba kujificha kwa majina ya uongo hapa JF.
Labda kwa kumalizia nisema, JPM hata Samia ni wanadamu watakuwa na mapungufu mengi, lakini pia watakuwa na uzuri na uhodari wa kutosha tu. Hivyo kusema fulani ni mbaya moja kwa moja au ni mzuri asiye na waa lolote hilo pia ni tatizo.
and 100 others
Pronto!!!Thats whats Maullana CEO geza ulale beleives as YOUR TAKE.Kwani katika hao Marais wote ukiondoa Nyerere wamelifanyia nini Taifa hili? Mwinyi mkewe alikamatwa Airport akitokea Zanzibar na dhahabu chungu nzima akielekea Uarabuni. Inasemekana Waziri wa mambo ya ndani wakati huo Mrema akafuta kesi mbaya sana. Mwinyi mwenyewe hata Baba wa Taifa alimponda kazi kuuza viwanja Dar na kushauriwa na mkewe.
Mkapa mwizi aliuza nyumba za Serikali kwa bei ya kutupa ili tu apore nyumba karibu na Aga Khan hospital pia alisaini mikataba ya madini kwa bei ya kutupa na kuificha hata Wabunge wasiione. Aliiuza mashirika mengi sana kwa bei ya kutupa ná NBC aliiuza kwa 15 millions T shs Wasouth Afrika walioinunua miaka michache baadaye wakaiuza kwa billions of $$$$. Kashfa za ufisadi kila kona kwenye kununua ndege bomu ya Rais akiwa kabakisha miezi mitatu tu kumaliza awamu yake ya pili. Wizi na ufisadi wa EPA,
Kikwete alikuwa DHAIFU, mwizi na fisadi mkubwa. Kashfa zake za ufisadi IPTL, Richmond/Dowans, Kilimo Kwanza, Escrow hata utendaji wa Mawaziri wake ilibidi Nape na Kinana wamwambie Waziri huyu hafai muondoe yeye aliona utendaji wao pia tu. Hao wote hata yule Mo Ibrahim aliwaona hawakuwa watawala bora hivyo wote kukosa zawadi ya $$$ million za more.
I do my homework to make sure that I have sufficient evidence to support my writings on this forum.
Wew ni chizi kweli kweli, siamini kama unamaanisha haya au just a joke.Siyo lazima investor apate faida ya venture yake kwa kutoka user payments. Sometimes wanatumia avenue inayojulikana availability payment. Yaani serikali inatenga kiasi fulani katika bajeti zake ili kuendesha shirika. Wewe ina maana hujawahi sikia government subsidy!!!?
Jibu swali toka kuanzishwa kwake tumepata faida kiasi gani? Hata ambayo siyo direct kama kuongeza watalii na whatever, je ni kweli tulikuwa kama nchi tuna tatizo la ndege mpaka kupeleka serikali kutumia pesa zote hizo?Wewe huwaga, upo na upinzani ambao haukuruhusu kuchambua mambo from a neutral standpoint. Always a biased hater.
Kuna vitu vingi hujui ila ndio ivyo, uko na makelele mengi wajinga wenzio wa nahisi unajua
Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.
https://www.facebook.com/