Hajasema serikali inafanya biashara amesema umiliki wa ndege, acha ujuaji na kutukana watu, tatizo mkipewa fact mnaanza matusi na huyo mwenzako
BAK ,
In a economic perspective serikali haifanyi biashara , economics inajaribu kutuaminisha kwamba serikali inatoa huduma tu na si biashara, lakini kiuhalisia serikali inamiliki biashara kwa nini nasema hivyo? kwa sababu serikali inauza bonds na kupata interest, serikali pia inamiliki banks na kupata faida, pia serikali inamiliki ndege na kuingiza kipatao n.k, sasa utasema hio si biashara?
Wazee wa ku play by the book, mmekuwa kwenye nchi ya Tanzania na hakuna mlichokifanya, usomi mavi, kila kitu mnapinga, we unajua Japan impact kiuchumi iliyotokea Japan baada ya kujenga reli za sumaku?
Ndio maana Magufuli alikuwa anawaning'iniza tu na kuwatumbua, kipara kikubwa akili hakuna, kisa huto tu degree uchwara sasa mnajikuta mmemaliza....
Wewe nikienda hoja kwa hoja huniwezi, mwenzako amekaa pembeni kaanza matusi, kashindwa maswali....
Ukikuta mtu ana mdomo mchafu wa kutukana ovyo, jua ametoka kwenye mazingira ya namna hio, either wazazi waliomlea, unakuta alikuwa victim kipindi chake cha utoto sasa hio tabia ikamjenga na yeye kuwa abuser mpaka ukubwani , wakati mwingine ni afya ya akili na disorders.... sasa watu wa namna hio huwa hawanisumbui, nikishafahamu huwa naachana nao.....