Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Dogo unaandika sana sijasoma.

Hata kuruka aya hujui

Mwanamme wa Daaaaaaaar, una matatizo haki ya nani. Zanzibar kuna tenda ya vijanadume kuolewa, nenda huko uwahi kabla wenzako hawajakuwahi......kuna waarab wametua kutafuta vijanadume tata kama wewe.
 
Mwanamme wa Daaaaaaaar, una matatizo haki ya nani. Zanzibar kuna tenda ya vijanadume kuolewa, nenda huko uwahi kabla wenzako hawajakuwahi......kuna waarab wametua kutafuta vijanadume tata kama wewe.
We mmang'ati wape hiyo dili wale washkaji wa Rombo wanaoshindwa hata kubeba jeneza
 
Mwanaume wa dar bila kuboost na supu ya pweza hawezi kugegeda mwanamke, anakuwa kama hivi.

Siku hizi hawatumii tena supu ya pweza, wanadanganywa na vumbi la Kongo, kuna wengine wanabugia majivu, na wengine wamedanganywa eti mpaka wapigwe vidole na mademu wao ndipo stimu inarudi kama zamani. yaani wanaume wa Dar, haki ya nani ni vigarasa visivyo na akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…