Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Wewe kweli ni mwanamme wa Dar asilia, yaani mpaka unafikiri hayo magorofa ya Dar yamejengwa na vijana wenzako kwa kweli mpaka hapa umeniacha hoi, yaani nimechekaje? Hivi hujuwi kuwa serikali yako ndiyo inayojenga hayo magorofa? Kwa makusudi serikali ilielekeza maendeleo yote Dar na kusahau mikoani, na sisi huku tumejenga viwanjani kwetu majumba si vijumba kama vya Msoga (mbavu za mbwa). Wanaume wa Dar bwana, yaani mpaka kufikiri imekuwa ishu kwenu? Wacheni kuendekeza bongo fleva na ujinga wa kusuka nywele, tutawaoa....shauri yenu.
Dogo unaandika sana sijasoma.

Hata kuruka aya hujui
 
Wa mkoani nipo hapa, mara ya kwanza kufika dar mm nilijua ni mji wa maduu watupu coz wengi ni weupe na wameva nguo za kubana makalio na supu. Nilipofka Uswahilini lahaula nikakuta vitoto vinakimbiza wababa na visu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Jamaniii ofaaa hapa ya dwa za kuweza kuongeza nguvu za kiume na keenda zaidi ya dk 2 Castr na wenzio pangeni mstar
 
8b281b2fdae3e9a0a7004d35fdbb6316.jpg

Mwanaume wa dar bila kuboost na supu ya pweza hawezi kugegeda mwanamke, anakuwa kama hivi.
 
Back
Top Bottom