Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo mzee baba haya yote ukifanyiwa unajisikiaje


Kudadadeki, yaani mie mwanamme ninayejitambua nile vumbi na kupigwa vidole kama mwanamme wa Dar kwa ajili ya stimu kupanda? Si mimi huyo, haya nawaachia wenyewe waliozoea wanaume wa Dar.
 
si kweli wanaume wengi wa dar huwa wanaogopa kutahiriwa na baadhi yao huwa hawatahiriwi mpaka wanakufa,
ila huku ukifikisha tu muda wa kutahiriwa lazima, ukileta ubishi basi lazima upelekwe hata kwa kufungwa kamba.
Mwanaume yupiii wa dar asiyetahiriwa wanajua wakiwa hivyo papuchi watazisikia kwenye bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…