Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Hawa ndio wenye shoo za kibabe?
91feffb0fc7fe5bb47c94e0a1f0332f7.jpg
Hao wakina delicious wa mikoani
 
Sasa eti mwanaume anatokea Tanga, kweli? Na wewe unajihesabu mwanaume?
Mjinga sana unabebwa na mkeo kwenda kuoga unaogeshwa.

Kuna tofauti gani masaji ninayofanyiwa hapo Miriam Magic Hands na unayofanyiwa na mkeo? Yea tofauti ipo, wewe ukimaliza hapo unabebwa unaenda kubembelelzwa ulale
Wa mikoani Tanga husiijumlishe iyo ni sawa na zanzibar tu hatuwataki uku kwetu mikoani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepigwa ninii lakini mpaka unashindwa kuniambia halaf nahisi we ndio unasababisha apite jf kimya kimya kwenye viwanja vya nyumbani hacomment kitu anapita kimya
Acha tu, mwanaume wa Mkoani nimepigwa na mwanamke wa dar[emoji23] [emoji23] [emoji23],nadhani ameshituka ndio maana anapita huku kafunga vioo.
Mpe hi Sakayo.
 
Kuna jamaa tulisoma nae chuo ni mwanaume wa dar ni hatari alikuwa na vipodozi ya hela yote mara perfume ya nywele sijui mafuta ya kope mara lotion ya magoti akitoka ananukia kiwanda cha perfume kikasome nguo sasa anazovaa rangi nyingi tofauti kana kwamba kinyonga akimuona anazimia hajui abadilike rangi gani
 
Sasa eti mwanaume anatokea Tanga, kweli? Na wewe unajihesabu mwanaume?
Mjinga sana unabebwa na mkeo kwenda kuoga unaogeshwa.

Kuna tofauti gani masaji ninayofanyiwa hapo Miriam Magic Hands na unayofanyiwa na mkeo? Yea tofauti ipo, wewe ukimaliza hapo unabebwa unaenda kubembelelzwa ulale
Mwanaume unaenda lipia ufanyiwe massage real?????? Unatania anko massage kabsaaa ????duuu
 
Back
Top Bottom