Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Hakuna jaman wa kina lemutuz wa mikoani ujue lemutuz wa mbeya na ugogoni dodoma
Hahaha,ni wa hapo hapo dar,,mwanaume yoyote akikaa dar zaidi ya miaka 2 hatumuesabu tena kama ni mwenzetu
 
Wa mikoani Tanga husiijumlishe iyo ni sawa na zanzibar tu hatuwataki uku kwetu mikoani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepigwa ninii lakini mpaka unashindwa kuniambia halaf nahisi we ndio unasababisha apite jf kimya kimya kwenye viwanja vya nyumbani hacomment kitu anapita kimya
Acha tu, mwanaume wa Mkoani nimepigwa na mwanamke wa dar[emoji23] [emoji23] [emoji23],nadhani ameshituka ndio maana anapita huku kafunga vioo.
Mpe hi Sakayo.
 
Kuna jamaa tulisoma nae chuo ni mwanaume wa dar ni hatari alikuwa na vipodozi ya hela yote mara perfume ya nywele sijui mafuta ya kope mara lotion ya magoti akitoka ananukia kiwanda cha perfume kikasome nguo sasa anazovaa rangi nyingi tofauti kana kwamba kinyonga akimuona anazimia hajui abadilike rangi gani
 
Mwanaume unaenda lipia ufanyiwe massage real?????? Unatania anko massage kabsaaa ????duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…