Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Ukitoka dar aukaenda mkoani au mkoani kwwnda Dar na ukaa huko zaidi ya miezi mitatu, basi tayari wewe umebadilika.
Mkuu,Kwa sasa naishi Dar kwa miaka kadhaa ila natokea mkoani,sikubali kuwa mwanaume wa Dar hata niikishi huku miaka buku.

Hapa ilala ukiona nyumba zimepangana basi jua kati ya hizo nyumba yupo shoga.Siwezi kuwa wa hili limkoa mimi nitabaki wa mkoani tu hata kwa lazima.
 
feb5bd6ca107152dc2bc708a04100b4b.jpg
THT WA MKOANI
Wamikoani hatuna shida ya kuficha Mabamia
 
Ndio mkuu wa mikoani wakiwa wanakuja dad kuanza maisha
Sio kwel,,sema wana act vile kwa kuwa wanakuwa kwa kazi moja tu ya kuokoa mahusiano na ndo za watu,,,Wanaume wengi wa dar ktandani wana F,, ndo maana unasema wengi ni marioo,,, wanalinda ndoa za watu
 
Back
Top Bottom