Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Sikuamini masikio yangu siku niliposikia mwanaume wa Dar anamwambia mwenzake

"Mwanangu nina umbea huo"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna mmoja nlimskia Anasema haamini kama amechambwa na jamaa yake,, Ilkuwa interview flani hv kwenye radio station,,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nilishaga tia aibu sehemu kwa makusudi

Mwanaume mtu mzima unaletewa vipande vya viazi kama dawa ya ngiri, mi nilifunika vile kisha nikawasha moto nikapika mihogo chukuchuku nikafuta hafu wooote wamenitolea macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…