Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

joti.jpg
joti%2Bndi%2Bndi%2Bndi.png
maxresdefault.jpg
sanaa na Wasanii wa. ........
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nilishaga tia aibu sehemu kwa makusudi

Mwanaume mtu mzima unaletewa vipande vya viazi kama dawa ya ngiri, mi nilifunika vile kisha nikawasha moto nikapika mihogo chukuchuku nikafuta hafu wooote wamenitolea macho
Ahahaha wazee wa chips dume
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nilishaga tia aibu sehemu kwa makusudi

Mwanaume mtu mzima unaletewa vipande vya viazi kama dawa ya ngiri, mi nilifunika vile kisha nikawasha moto nikapika mihogo chukuchuku nikafuta hafu wooote wamenitolea macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti sambusa mbili na chai mm nawaambiaga nunueni viazi nachemsha nakula Tani yangu chai vikombe viwili wenyewe viazi mpaka wakaange n kachumbali ndo wanakula alafu viwili tu mtu kashiba
 
Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande..

Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke ishu za vibamia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kina Mario...

Kina sugar daddy na sugar mummy. Wa mikoani mupo?

Twende kazi..
Dar population density 3100/sqkm. Mkoani population density 70/sqkm. Msiniite mchochezi kwa takwimu ixo. Kwa hiyo wanaume wa dar wanamtindio wa ubongo maana hawavuti natural air koz of msongamano.
OVA
@darubinsaid
 
Juzi nilivyoenda dar nikawa mitaa ya mawasiliano akapita mkaka kavaa pensi mpaka nikammezea mateeee
Halafu watu wa wadar wenyewe Hawana miili au maumbo makubwa km wa mikoani,, vuta picha kavaa ile pensi hlf mguu umekomaa hatari full vinyoleo,, wengi wao wanaviumbo vidogo vidogo
 
Dar population density 3100/sqkm. Mkoani population density 70/sqkm. Msiniite mchochezi kwa takwimu ixo. Kwa hiyo wanaume wa dar wanamtindio wa ubongo maana hawavuti natural air koz of msongamano.
OVA
@darubinsaid
Ngoja wamelala... Usijali kutambazuka... Saa hii wanaogopa kiza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
maisha ya tanzania yalikua mepesi rais alipokua wakutoka mjini lakini marais wa kutokea mikoani full kutupa stress kila siku.
 
Lakini wanaume wa Dar mnatia dume zima linalia kupigwa mbele ya mke na mama mkwe tena bila sababu
Mimi wa mkoa pangechimbika bila jembe
Hivi ni chips na mayonaiz tu ndio zinawafanya mnakuwa dhaifu kiasi hiki?
Kitandani mpaka mbusti na matikiti maji, supu ya pweza, mihogo na karanga
Kwa mtindo huu wake zenu ni halali yetu wa mikoani
Dume limejipodoa kama demu
Ukikutana nalo unaweza kuliambia mambo dada kumbe jidume, hizi ni dalili za ushoga
 
We naona unautani na Ray na idrisa[emoji1] [emoji2]
 
Back
Top Bottom