Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
[emoji2][emoji2][emoji2]Wa mkoani nipo hapa, mara ya kwanza kufika dar mm nilijua ni mji wa maduu watupu coz wengi ni weupe na wameva nguo za kubana makalio na supu. Nilipofka Uswahilini lahaula nikakuta vitoto vinakimbiza wababa na visu