Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

6e879da9c04773bcab3e8d07165bc6df.jpg
mje Dar maskini nyie tuwe tunawatuma acheni jeuri mtakufa masikini shauri zenu....
 
Yote tisa......Kumi Mwanaume wa Dar anakimbilia siti kwenye Mwendokasi. Yupo radhi amuone Mwanamke amesimama kabeba Mtoto mgongoni anajikausha kama hamuoni. Hili kwangu Mimi nilivyoona nilishangaa na bado nashangaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yote tisa......Kumi Mwanaume wa Dar anakimbilia siti kwenye Mwendokasi. Yupo radhi amuone Mwanamke amesimama kabeba Mtoto mgongoni anajikausha kama hamuoni. Hili kwangu Mimi nilivyoona nilishangaa na bado nashangaa.
Nilipanda eicher la Gongo la mboto lilijaza sana sasa kuna mmama alikuwa kambeba mtoto kasimama sasa kuna abiria alikuwa amekaa kainuka ili ashuke yule mmama ile anaenda kukaa kuna baba hilo limetoka spidi kuwahi ile siti bila aibu yule mmama alikuwa ndio anaketi ikabidi apotezee sasa yule mbaba kakaa katikati ya wamama siti ya nyuma mbona walimchamba [emoji23] mwanaume MTU mzima unashindana na mama mwenye mtoto kukaa kwenye siti ,huna haya maneno kibao

Yule jamaa akawa kauzu anabishana nao na mwishoni kusema nyie simameni huyo mama akae kajikaza

Nilijisikia aibu sana japo sikuwa mm wale wamama waliongea sana kijamaa kauzu kimedinda tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndiyo zao hizo wanaume wa Dar.
 
Back
Top Bottom