Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Duuh, si bora kuishi kwa uhuru ukiwa mugumu kuliko kukimbizana na mkolomije mwingine(DAB) ikifika saa sita usiku!
 
Duuh, si bora kuishi kwa uhuru ukiwa mugumu kuliko kukimbizana na mkolomije mwingine(DAB) ikifika saa sita usiku!
Ukiona umefika muda wowote wa hatari huko kwenu shamba niambie niende mtaa wowote hapa Dar nikupigie picture nikutumie
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kqma naliona lilivyokaza mshipa kubishana na wamama[emoji23]
 
Wanaume wa dar kwa mafoto, msosi hauliki bila selfie!...hayo mambo muwaachie wadada!
 
mje Dar maskini nyie tuwe tunawatuma acheni jeuri mtakufa masikini shauri zenu....
Wanaume wa dar wanapenda majukumu mepesi kama Ku identify location ya sehemu zinazobamba ila zikija bill za "buckets" wanajitia kuvuta fegi au kupiga simu...mnajichoresha zama hizi za ma google maps na Uber services sema tunawachora tu na fedha za madini na mbao[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] waambie ukweli hawatufaham wa mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…