Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Huyu ni kijana wa kiume.. Anaishi Mbezi beach... Ni msanii anayechipukia wa bongo fleva... Naweka picha yake si kwa dhihaka bali kwa tafakuri kuu kuhusu haya maumbile yake... Nimesikiliza wimbo wake mmoja hata sauti yake ni nyororo mno.... Nilichompendea ni kimoja tuu anajiamini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…