Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

IMG-20180206-WA0122.jpg
 
Kijana wa dar hadi miaka 28 up 30 somethng bado anakula kulala om na hana mpango wowote anawaza kudanga na kujirusha kwe vjana wa dar kaz kweli kweli
 
Wanaume fulani walikimbizwa mtaa mzima na panya road hadi wakaacha wake zao.
 
Huyu ni kijana wa kiume.. Anaishi Mbezi beach... Ni msanii anayechipukia wa bongo fleva... Naweka picha yake si kwa dhihaka bali kwa tafakuri kuu kuhusu haya maumbile yake... Nimesikiliza wimbo wake mmoja hata sauti yake ni nyororo mno.... Nilichompendea ni kimoja tuu anajiamini sana View attachment 687848
Mshana hilo pozi lakuxhik kiuno atakua ni mwenzetu kweli
 
Back
Top Bottom