Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Kama ni kamwanaume kafupi kakibeba hilo begi kwa mbali unaweza dhani ni kobe kasimama na miguu miwilwatu wa dar wanapenda kuzurura na mabegi mgongoni
Ukiyapekua unakuta body spray,lotion,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kamwanaume kafupi kakibeba hilo begi kwa mbali unaweza dhani ni kobe kasimama na miguu miwilwatu wa dar wanapenda kuzurura na mabegi mgongoni
Ukiyapekua unakuta body spray,lotion,
Za kugegeda ndo hamnaWaoneni hivo hivo,wana nguvu za kugombania daladala hawa hadi mwendokasi huwezi amini...
sio vizuri aseeKama ni kamwanaume kafupi kakibeba hilo begi kwa mbali unaweza dhani ni kobe kasimama na miguu miwil
Ha ha haKaka anzisha uzi WA wanawake wa dar na wamikoani tuone njia zao za kudanga itatusaidia sana wanaume
Huyu Segerea inamuhusu![]()
Wa mkoani kaja kufanya shopping Dar
Dada maneno yako, ujue dada mange anakuona!Za kugegeda ndo hamna
Mshana hilo pozi lakuxhik kiuno atakua ni mwenzetu kweliHuyu ni kijana wa kiume.. Anaishi Mbezi beach... Ni msanii anayechipukia wa bongo fleva... Naweka picha yake si kwa dhihaka bali kwa tafakuri kuu kuhusu haya maumbile yake... Nimesikiliza wimbo wake mmoja hata sauti yake ni nyororo mno.... Nilichompendea ni kimoja tuu anajiamini sana View attachment 687848
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dada maneno yako, ujue dada mange anakuona!
[emoji2] [emoji2] he is or she is( him or her)Just feeling sorry for him