Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

2057d650891234948314f6082271243b.jpg
bb2c621df0a0aaef34833fb42d6fb55e.jpg
 
Wanaume wa Dar kazi kushinda sallon..na kufuga kucha...powder kwa sana...wakija mkoani unaweza ukadhani wadada..wananuka kiharufu fulani kama pombe fulani inaitwa komoni..haahaahaaaaaa
 
Huyu ni kijana wa kiume.. Anaishi Mbezi beach... Ni msanii anayechipukia wa bongo fleva... Naweka picha yake si kwa dhihaka bali kwa tafakuri kuu kuhusu haya maumbile yake... Nimesikiliza wimbo wake mmoja hata sauti yake ni nyororo mno.... Nilichompendea ni kimoja tuu anajiamini sana View attachment 687848
Huyu bwana namjua nilikutana nae dukani nilikua kwa msela pale mwenge anaongea kama mwanamke
 
Sisi wanaume wa Dar ni watanashati saaaaana full body spray na perfume
 
downloadfile-1.jpg
salidalamu moto... Kinondoni moto... Ilala moto... Tmk moto.. Fire.. Moto... Fire... Moto....
 
Back
Top Bottom