ha ha haaaa!!Waoneni hivo hivo,wana nguvu za kugombania daladala hawa hadi mwendokasi huwezi amini...
Huyu bwana namjua nilikutana nae dukani nilikua kwa msela pale mwenge anaongea kama mwanamkeHuyu ni kijana wa kiume.. Anaishi Mbezi beach... Ni msanii anayechipukia wa bongo fleva... Naweka picha yake si kwa dhihaka bali kwa tafakuri kuu kuhusu haya maumbile yake... Nimesikiliza wimbo wake mmoja hata sauti yake ni nyororo mno.... Nilichompendea ni kimoja tuu anajiamini sana View attachment 687848
Inahuzunisha sema ujue Kuna wanaume wanamtongoza yani hao ndo wanafedhehesha zaidiNimejisikia vibaya kweli
Kaka anzisha uzi WA wanawake wa dar na wamikoani tuone njia zao za kudanga itatusaidia sana wanaumeNilichompendea he is so confident.. Amejikubali vile alivyo