Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Huu mchuano mkali wanaume wa Dar hatuwawezi wa mikoani wana maneno makali sana japo wanayosema yanaukweli kidogo ndani yake. Ngoja niwe msomaji zaidi
 
Naona huu mchuano wanaume wa mkoani wanaongoza kwa ushindi ila nimecheka aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno!!
 
Atakuwa wa kote kote si unajua ni mganga wa jadi kuna wakati anazama kijijini kutafuta dawa halafu anakuja dar kuwatibu wateja wake.
 
Dah, kama kuna ukweli vile.
 
Vijana wa dar mnasura na sauti na rangi nyeupe kama dem wangu ila sema mna boa pale wenzenu wanapo vunjiwa mayai mterezo kwa nyuma hongera zenu vijana wa dar kama mgelikua nguo basi ningelikuiteni nyie ni malonya lonya kijana wa mkoa si shoboki na naishi kwa misingi na maadili nilofunzwa mkoan ama nyumbani
 
 
watu wa mikoani ukipishana nae hujui kama umepishana na mtu au mbuzi

hiyo harufu wote wananuka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kiongozi soma muongozo vizuri unatutusi mbuzi mwenyewe
 
watu wa mikoani wanakula vyakula vigumu mpaka wakienda kunya wanabeba na vilainishi ili wasichanike
Hii Umejuaje Mkuu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukitak kujua utofauti wa wanaum wa dar na mikoani waanglie miondoko yao wanaum wa dar lazim watingixhe kalio zao kam dadazetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…