Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.

Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza ni kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko make mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

3. Pia mnakuja na masimu yenu kujipigapiga picha tu na KUJIRUSHA Facebook eti mko msibani wakati hamfanyi lolote

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
 
Kuna wenzenu shule ndio imewaleta mjini hapa wakazamia, sasa hivi wanaambiwa warudi makao makuu wanalialia utafikiri huko mkoani ni jehanamu, unafanya mchezo na Dar wewe!
[emoji151][emoji151][emoji151][emoji151]khokhookhooooo
 

[emoji23] [emoji23]
Hi ndio kazi yao mkuu
 
kwani Dsm sio Mkoa?
 
Povuu kijana wa dar..
Ushakunywa chibuku
 
Wa mkoani nipo hapa, mara ya kwanza kufika dar mm nilijua ni mji wa maduu watupu coz wengi ni weupe na wameva nguo za kubana makalio na supu. Nilipofka Uswahilini lahaula nikakuta vitoto vinakimbiza wababa na visu
hahaaa ..Hivi mkuu waishi mkoani mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…