Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

1f57808e96dc125163ffe29abd2c7cfb.jpg

[emoji23] [emoji23]

Karithi kutoka dar
aliyetiwa katoka mkoani
 
wa mikoani

1. hawajui kuvaa
2. washamba, wanaigana sana na kufata mkumbo, mfano akiona mwenzie kaoa na yeye anataka aoe kumbe kiuhalisia bado hawezi kummudu mwanamke kulingana na kipato.
3. wakija dar wanajua posta, fery, na mliman city tu, usipowapeleka hayo maeneo wanaona kama hawajafika dsm
4. nguvu nyingii akili nukta
5. wanapigwa sana vibuti na madem, anaweza kumtumia pesa mwanamke ambaye hajawahi kumuona
6. ndio wanaoongoza kubwagwa na madem zao
7.wabishi sana, hata kama kitu cha kweli atataka league
8. hawazipendi timu zao, ajabu wanashabikia timu za yanga na simba ambazo zipo dar
9. wakija dar ujuaji mwingi, wakienda shopping wanapigwa sana bei
10.wakigombana na wake/madem zao hukimbilia kujinyonga.
11. wengi ndoto zao ni kufika dar
12. siku wanakuja dar, hawalali huo usiku huo wanapata usingizi wa mang'amng'am ili gar isiwaache
13. kuoga ni hiari
hahaaaaaa umemaliza kila kitu mkuu

eti ndoto zao nikufika dar tu hahaa
 
Back
Top Bottom