Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Nabii wenu Tito.

Katoboa masikio, kajichubua na nywele kaweka dawa.
9d2ad8bb33fdf58f07945dc7a6a599de.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
pri_47870154.jpg
Wanaume wa mikoani ni watafutaji na si wavivu, wanajuwa wajibu wa kutunza familia zao, wengi hawana matatizo ya nguvu za kiume, hawana muda wa kupoteza, wao ni kazi tu, na tuko shupavu. Tatizo la wanaume vigarasa wa Dar ni kule kuiga kila ujinga utokao nje, kuvaa huku chupi ikiwa nje, wavivu, wambea, hawana nguvu za kiume, wengi wao wananuka makwapa na mdomo japo wako mjini, wanapenda sana kujifananisha na wanawake, kutongoza wanawake kwao ni ishu na akipata demu wa kugegeda basi kila mtu atajuwa mtaani, si watafutaji, wanapenda sana ushoga au utata, wako very useless. Idadi kubwa ya wanaume wa Dar ni kama hapo juu, hawana ishu yeyote mjini....wako bize kunywa gongo, kusikiliza fleva, na ujinga usiowasaidia chochote maishani.
 
wa mikoani

1. hawajui kuvaa
2. washamba, wanaigana sana na kufata mkumbo, mfano akiona mwenzie kaoa na yeye anataka aoe kumbe kiuhalisia bado hawezi kummudu mwanamke kulingana na kipato.
3. wakija dar wanajua posta, fery, na mliman city tu, usipowapeleka hayo maeneo wanaona kama hawajafika dsm
4. nguvu nyingii akili nukta
5. wanapigwa sana vibuti na madem, anaweza kumtumia pesa mwanamke ambaye hajawahi kumuona
6. ndio wanaoongoza kubwagwa na madem zao
7.wabishi sana, hata kama kitu cha kweli atataka league
8. hawazipendi timu zao, ajabu wanashabikia timu za yanga na simba ambazo zipo dar
9. wakija dar ujuaji mwingi, wakienda shopping wanapigwa sana bei
10.wakigombana na wake/madem zao hukimbilia kujinyonga.
11. wengi ndoto zao ni kufika dar
12. siku wanakuja dar, hawalali huo usiku huo wanapata usingizi wa mang'amng'am ili gar isiwaache
13. kuoga ni hiari
Aaahhh wapiii
 
Back
Top Bottom