Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Wanaume wa dar wote vijana,, kwa zile scrubs za kinondoni,sinza siku zote wanajiona vijana,,, ndo maana sishangai kuona wakivaa modo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiogope bana ulifkili kubwa basi kamillion tu young jaman
Hata shilingi hamsini, sitaki tena hayo mambo[emoji23] [emoji23] [emoji23], yani kwwli mimi wa kuingizwa mjini na mwanamke.
 
Kabla sijasema chochote naomba mnisaidie kwanza.Kwani Mwanaume wa Dar na wa mkoani ni yupi kati ya hawa maana mimi nashindwa kuelewa mimi ni wa wapi.

Aliyezaliwa na kukulia mkoani ila kwa sasa anaishi Dar.je huyo ni wa wapi?

Aliyezaliwa na kukulia Dar ila kwa sasa anaishi mkoani.je hiyo ni wa wapi?

Mkinisaidia hapo na mimi nitatia neno maana mpaka sasa sijijui wa wapi maana vigezo vyenu havieleweki.
 
Back
Top Bottom