Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

4bca21679525a6f26b191c39087b8b71.jpg
huyu pia ndugu yenu.
Huyu Roma anatokea hukoooo Tanga, Majani Mapana.

Alivyotekwa akarudi akaanza kuupload hizi picha
 
Kabla sijasema chochote naomba mnisaidie kwanza.Kwani Mwanaume wa Dar na wa mkoani ni yupi kati ya hawa maana mimi nashindwa kuelewa mimi ni wa wapi.

Aliyezaliwa na kukulia mkoani ila kwa sasa anaishi Dar.je huyo ni wa wapi?

Aliyezaliwa na kukulia Dar ila kwa sasa anaishi mkoani.je hiyo ni wa wapi?

Mkinisaidia hapo na mimi nitatia neno maana mpaka sasa sijijui wa wapi maana vigezo vyenu havieleweki.
Ukitoka dar aukaenda mkoani au mkoani kwwnda Dar na ukaa huko zaidi ya miezi mitatu, basi tayari wewe umebadilika.
 
Asante Kwanza kwenye sekta ya ulevi bure kabisa wanajishaua kunywa savvana yani hapo tu wanaponichosha sasa Kama wanakunywa savvana watapata wapi nguvu za kupiga game mm mwenyewe mwanamke wako mkoani napiga nyagi Nikipata mwanaume wa Dar nahisi nitamuacha siku moja
Unaweza alika wanaume wa dar kama kumi hivi kuja kunywa kisichana cha konyagi na ikabaki watakayo katia rock kesho
 
Na Mwaka huu mkulu anawahamisha kutoka dar mnakuja mkoani tutawakomesha mpaka basii mliambiwa muondoke mkagoma naona saivi mnaondoka bila kupenda karibuni mkoani mje na ulegelege wenuuuu
Alafu wanaume wa dar waƙisikia neno scorpion wanakimɓia wanaogopa ƙutolewa macho.Dar ndo mkoa pekee mwizi anapigwa na kiatu cha mwanamke
 
Back
Top Bottom