Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu mnachangia lkn mnatia mashaka uwezo wenu wa kuelewa au mpo Dar lakin hamkwenda shule kabisa yani Hamna elimu kichwani. Ni lazima mjue kutofautisha dhana ya Mikoani na Kijijini pia swala la Maisha bora na maisha ya kimaskini. Si kweli kwamba kuwa mkoani tafsiri yake ni kuwa masikini au kuwa mkoani basi ni kuwa kijijini.Dah!!hii imebidi niijibu...We kuna sehem mikoani hata Dispensary hakuna ndugu afu eti ukikaa dar unaweza survive popote...
Watu maji ya kunywa tu masafi labda wasubiri ya mvua.
Unalala usiku unasikia sauti ya mnyama na choo ni cha nje...
Anyway kila sehem na chamgamoto zake...uwe town au mkoani..
Mhhhh
Aisee [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]